ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
FaizaFixyKuna rafiki yangu fulani amenithibitishia kuhusu ndugu yake aliyepona VVU baada ta kunywa dawa ipo kama chai alienda magomeni ama clinic yake kwa dokta anaitwa tr msigwa hata youtube video zake zipo anajinasibu anatibu ukimwi na magonjwa mengine.Binafsi mimi nina mashaka kwani tumefundishwa na wanasayansi kuwa virusi hivo havina matibabu..kwa kuwa jf ni jukwaa la watu wengi bila shaka watakuwepo wenye kujua habari za dokta huyo.
Hahahaaa, aseme kama ni yeye mwenye ngoma au siyo?Bro si useme tu kama ni weweee?
Na wanajua after a prolonged use of ARVs viral load ita drop to an un-detectable level..so ukinywa iyo dawa yao ukakimbilia kwenda kupima wakat huo umepiga ARV miaka 15 lazima uingie kwenye mtego wao..Matapeli hao. Na wana tabia ya kuuza dawa bei kubwaaa.. wanajua lazima utanunua tu
😂😂Hahahaaa, aseme kama ni yeye mwenye ngoma au siyo?
usitusumbue!Nje ya mada...
Hivi wale waliokunywa kikombe cha babu WA loliondo walipona...?
HahahaKuna rafiki yangu fulani amenithibitishia kuhusu ndugu yake aliyepona VVU baada ta kunywa dawa ipo kama chai alienda magomeni ama clinic yake kwa dokta anaitwa tr msigwa hata youtube video zake zipo anajinasibu anatibu ukimwi na magonjwa mengine.Binafsi mimi nina mashaka kwani tumefundishwa na wanasayansi kuwa virusi hivo havina matibabu..kwa kuwa jf ni jukwaa la watu wengi bila shaka watakuwepo wenye kujua habari za dokta huyo.