melki gandye
New Member
- Apr 28, 2013
- 2
- 2
Thanks mkuuu sema nliitaji tu namna Kama Kuna mtu mzoefu anaweza nisaidia namna hata ya upangajiMkuu usiharibu pesa yako.. kwenye bidding documents kuna maelezo yote na kama uko makini kwenye kusoma na kuelewa, basi huna haja yakuhangaika..
1. Zingatia attachments zinazohitajika
2. Pricing, haikikisha bei zako ziko competitive
3. Zingatia deadline/muda wa submission, usichelewe hata sekunde..
Sent using Jamii Forums mobile app
PMHabari za jioni.
Naomba kuuliza kama kuna mtu anaejua mtu au mahali wanapofundisha kuhusu mambo ya tender bidding and preparation na gharama zao na contact zao please
Sent using Jamii Forums mobile app
Melekezo mazuriMkuu usiharibu pesa yako.. kwenye bidding documents kuna maelezo yote na kama uko makini kwenye kusoma na kuelewa, basi huna haja yakuhangaika..
1. Zingatia attachments zinazohitajika
2. Pricing, haikikisha bei zako ziko competitive
3. Zingatia deadline/muda wa submission, usichelewe hata sekunde..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ukitaka upangaji kwa urahisi..Thanks mkuuu sema nliitaji tu namna Kama Kuna mtu mzoefu anaweza nisaidia namna hata ya upangaji
Sent using Jamii Forums mobile app