Kwa anayejua wanapofundisha mambo ya Tender

melki gandye

New Member
Joined
Apr 28, 2013
Posts
2
Reaction score
2
Habari za jioni.

Naomba kuuliza kama kuna mtu anaejua mtu au mahali wanapofundisha kuhusu mambo ya tender bidding and preparation na gharama zao na contact zao please

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu usiharibu pesa yako.. kwenye bidding documents kuna maelezo yote na kama uko makini kwenye kusoma na kuelewa, basi huna haja yakuhangaika..

1. Zingatia attachments zinazohitajika
2. Pricing, haikikisha bei zako ziko competitive
3. Zingatia deadline/muda wa submission, usichelewe hata sekunde..

Thanks mkuuu sema nliitaji tu namna Kama Kuna mtu mzoefu anaweza nisaidia namna hata ya upangaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu usiharibu pesa yako.. kwenye bidding documents kuna maelezo yote na kama uko makini kwenye kusoma na kuelewa, basi huna haja yakuhangaika..
1. Zingatia attachments zinazohitajika
2. Pricing, haikikisha bei zako ziko competitive
3. Zingatia deadline/muda wa submission, usichelewe hata sekunde..

Sent using Jamii Forums mobile app
Melekezo mazuri
 
Back
Top Bottom