Kwa anayejua wapi nitapata Kazi ya utangazaji under 18

Kwa anayejua wapi nitapata Kazi ya utangazaji under 18

Murras

Member
Joined
Jun 2, 2012
Posts
8
Reaction score
1
Jamani kwa anayejua nitapata wapi kazi ya utangazaji under 18 nisaidieni.I lOVE THIS JOB ITS MY HOBBY
 
Jirikodi kwenye cd ukionesha ubunifu kisha isambaze hiyo cd ktk redio stasheni mbalimbali.ila itakuwa vizuri ukianza kujitolea kutangaza au kuigiza ktk events mbalimbali ngazi ya shule,mtaa hata tarafa.
 
utakuwa ni sharobaro ww dogo maana ndio kazi zenu hizo. Ushauri wang piga kitabu kwanza
 
dah kumbe JF kuna undr 18 no wonder pumba nying nowadays!
 
dah kumbe JF kuna undr 18 no wonder pumba nying nowadays!

Mkuu kwanini unataka kututaftia BAN zisizo na maana......comment kama yako kwa upande wangu imeshaanza kunishawishi kukutukania mama ako
 
Jirikodi kwenye cd ukionesha ubunifu kisha isambaze hiyo cd ktk redio stasheni mbalimbali.ila itakuwa vizuri ukianza kujitolea kutangaza au kuigiza ktk events mbalimbali ngazi ya shule,mtaa hata tarafa.

Best advice...
 
Mkuu kwanini unataka kututaftia BAN zisizo na maana......comment kama yako kwa upande wangu imeshaanza kunishawishi kukutukania mama ako

are u undr 18? Pole kama nimekugusa na asante kwakutonitukania mama yangu.
 
Jamani hiyo elimu ya sasa inaonekana ni nyepesi sana ama mimi ndo naicomplicate,under 18 anataka kutangaza ana shule gani kichwani au ndo wale wanatafuta umaarufu then waanze tena kutuulia wasanii wetu.Please nenda shule kwanza maana wewe kama upo under 18 hujui hata unapenda kuwa nani katia maisha bado unaota tu
 
Back
Top Bottom