Kwa anayemfahamu mgonjwa aliyepo pichani atoe taarifa

Kwa anayemfahamu mgonjwa aliyepo pichani atoe taarifa

Wajitathmini Nini? Wanaopaswa kujitathmini ni Wananchi wenyewe wala siyo Watu wa CCM. Hivi CCM wasinunue 'mashangingi' ya kufanyia safari za anasa unataka wajihangaishe na hao Watu ambao wameshindwa kujilipia bill ya matibabu huko mahospitalini!
Mda wà wananchi kujitathmini Una make sense zaidi wàkàti wakupiga kura.
CCM ndo imeshika Dola na inaona kinachoendelea, wànapaswa kujitathmini.
 
Wanaposema ANAJITAMBUA lakini Hana KUMBUKUMBU am little bit confused 🤔
Huelew nini hapo, yani anaelewa vyote vinavyoendelea kwa sasa lakin vya nyuma havijui kabisa. Mbele kunaendeka ila nyuma mtiti.
 
Serikali ya ccm huduma za afyq ya jamii imekuwa anasa.
Bill za hospitali hazishikiki, tumefika mahali ambapo ndugu zetu tunawatelekeza hospitali.
CCM na serikali yenu mjitathimini.
 
Muhimbili mgonjwa akikaa wiki mbili bili milioni kwenda juu kawaida
Kwani mlitakaje waja? Mlitaka wamuache afe wasimpokee na kumtibu? Pesa Makaratasi HAPO hata wasamalia wanaweza kwenda kulipa HIZO Million sio lazima wakalipe Ndugu
 
Kama picha inavyojieleza

Hakua na karatasi yoyote ambayo ina jina lolote hata kama na la msikiti au kanisa, chuo, gereji, eneo alikokutwa, siku au namba ya simu? Wala haijulikani alikuwa amevaa nguo aina au rangi yoyote, hata umbile lake halijulikani zaidi ya sura!
Mmeogopa gharama kwa kuweka maelezo ya hali mliyomkuta nayo kati ya niliyoyaandika!
 
Kwani huyo jamaa yako hana kitambulisho cha NIDA ambacho kina taarifa zake zote hadi kijijini kwao?.
Huna akili, una uhakika watu wote washapata NIDA? na watu wote wana desturi ya kutembea na kitambulisho au kutokisahau?
 
"Anajielwa lakini amepoteza kumbukumbu"

Hapo huenda ndugu zake wamejificha na Mwamba kaamua kufake kama hawajui ndugu zake ili kuwaepusha na mzigo wa bills,

Kuna namna viongozi wa CCM inabidi wajitathmini .
[emoji1787]mkuu unamaanisha jamaa kaona isiwe taabu kajizimisha data
 
Back
Top Bottom