Mda wà wananchi kujitathmini Una make sense zaidi wàkàti wakupiga kura.Wajitathmini Nini? Wanaopaswa kujitathmini ni Wananchi wenyewe wala siyo Watu wa CCM. Hivi CCM wasinunue 'mashangingi' ya kufanyia safari za anasa unataka wajihangaishe na hao Watu ambao wameshindwa kujilipia bill ya matibabu huko mahospitalini!
Tueleze mkuu, kwa faida ya wengi!Ingekuwa kalazwa Bugando ningewaomba wajitokeze tu halafu nikawaelekeza namna ya ku-escape bila kulipa bili
Dah usidharau mkubwa mambo yamebadilika mno uwezi amini kabisa kuna SF sahivi zina muonekano wowote ule.Hii sura ni ya boda boda, hope ndugu watampata
Huelew nini hapo, yani anaelewa vyote vinavyoendelea kwa sasa lakin vya nyuma havijui kabisa. Mbele kunaendeka ila nyuma mtiti.Wanaposema ANAJITAMBUA lakini Hana KUMBUKUMBU am little bit confused 🤔
Mkuu umemaliza kila kitu, hiyo sura ni boda kabisa hapo ndugu wanakwepa tu bill ila boda hawez potea kizembeHii sura ni ya boda boda, hope ndugu watampata
DahHii sura ni ya boda boda, hope ndugu watampata
Kwani bodaboda wanasura gani?Mkuu umemaliza kila kitu, hiyo sura ni boda kabisa hapo ndugu wanakwepa tu bill ila boda hawez potea kizembe
Kwani mlitakaje waja? Mlitaka wamuache afe wasimpokee na kumtibu? Pesa Makaratasi HAPO hata wasamalia wanaweza kwenda kulipa HIZO Million sio lazima wakalipe NduguMuhimbili mgonjwa akikaa wiki mbili bili milioni kwenda juu kawaida
Punguza utoto na ujuajiKwani huyo jamaa yako hana kitambulisho cha NIDA ambacho kina taarifa zake zote hadi kijijini kwao?.
Hakua na karatasi yoyote ambayo ina jina lolote hata kama na la msikiti au kanisa, chuo, gereji, eneo alikokutwa, siku au namba ya simu? Wala haijulikani alikuwa amevaa nguo aina au rangi yoyote, hata umbile lake halijulikani zaidi ya sura!
Dah
Huna akili, una uhakika watu wote washapata NIDA? na watu wote wana desturi ya kutembea na kitambulisho au kutokisahau?Kwani huyo jamaa yako hana kitambulisho cha NIDA ambacho kina taarifa zake zote hadi kijijini kwao?.
Jamaa yupo
Sawq
Huna akili, una uhakika watu wote washapata NIDA? na watu wote wana desturi ya kutembea na kitambulisho au kutokisahau?
[emoji1787]mkuu unamaanisha jamaa kaona isiwe taabu kajizimisha data"Anajielwa lakini amepoteza kumbukumbu"
Hapo huenda ndugu zake wamejificha na Mwamba kaamua kufake kama hawajui ndugu zake ili kuwaepusha na mzigo wa bills,
Kuna namna viongozi wa CCM inabidi wajitathmini .
Mkuu hii ni Siri ya kambiTueleze mkuu, kwa faida ya wengi!
Hii ndiyo sababu!.Ndugu hawaji, wanaogopa bili
Mkuu wiki iliyopita tumepoteza ndugu aliyefariki alilazwa wiki mbili hapo, bili imesoma milioni 8 na laki 2.Muhimbili mgonjwa akikaa wiki mbili bili milioni kwenda juu kawaida
Basi hajitambui,huwezi kujua present na future kama hujui past yakoHuelew nini hapo, yani anaelewa vyote vinavyoendelea kwa sasa lakin vya nyuma havijui kabisa. Mbele kunaendeka ila nyuma mtiti.