Atakuwa bonge la mjanja😁😁"Anajielwa lakini amepoteza kumbukumbu"
Hapo huenda ndugu zake wamejificha na Mwamba kaamua kufake kama hawajui ndugu zake ili kuwaepusha na mzigo wa bills,
Kuna namna viongozi wa CCM inabidi wajitathmini .
Yaani huyo muandishi wao Hana weledi😁KIswahili Kigumu aisee 🤣
Wanamaanisha He is Conscious but has no (Has Short on) Memoir/Memory
Hata mimi naungana na wewe,tena wale wa mziki mkubwaaa,hii ikifika vijiwevya boda temeke wanaweza kumtambuaHii sura ni ya boda boda, hope ndugu watampata
Kwamba bodaboda wana sura za kipekee mkuu?🤣🤣🙌Hii sura ni ya boda boda, hope ndugu watampata
Wewe waambie tu wamruhusu kwanza huyo mgonjwa atoke hapo hospitali. Si ameshapata nafuu? Naamini ndugu watapatikana tu automatically.
Mkuu mbona hiyo Bill ni ya Apolo huko India?Mkuu wiki iliyopita tumepoteza ndugu aliyefariki alilazwa wiki mbili hapo, bili imesoma milioni 8 na laki 2.
Kwani mgojwa hawezi kuongea?
Balaa mkuu, sasa kugomboa mwili huo mtiti wake, ndugu walitakiwa wapate nusu ya hiyo hela, pamban wiki nzima wakapata miiloni mbili kwa kuacha vitambulisho vyao, wanatakiwa kila mwezi kupunguza deni.Mkuu mbona hiyo Bill ni ya Apolo huko India?
Na wewe ukaona sawa kumjibu mpuuzi, is it?.We jamaa hujawahi Acha ku reply upuuzi, kama kungekuwa na namna nyingine ya kum trace isinge kuwa this viral
Acha 'upumbavu' kijana mdogo, wewe muelewa na mwenye brain umefanya nini kutoa msaada?.Punguza utoto na ujuaji
Kuna siku uliwahi muona mwenye akili anamfukuza asiye na akili?.Huna akili, una uhakika watu wote washapata NIDA? na watu wote wana desturi ya kutembea na kitambulisho au kutokisahau?
Kama ndo hivo; Basi sasa nao MOI wajiongeze kwa kumpa kazi/shughuli nyepesi-nyepesi zenye malipo ili adundulize hadi bill ikamilike aweze kujilipia mwenyewe.Muhimbili mgonjwa akikaa wiki mbili bili milioni kwenda juu kawaida
Si Ndio, kaupiga mwingi!Atakuwa bonge la mjanja😁😁