Kwa anayetafuta mume/mpenzi

Ganda la muwa la Jana chungu kaona kivuno wahenga walisema πŸ˜€
Yaani mi naelewa basi ndugu yangu....
Yaani hapa sijali wala nini maana jf wanajua kunikazia aiseee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™Œ
 
shusha CV yako kwanza wadada siku hizi hatutaki wanaume lia lia maana na sisi siku hizi sio lia lia
 
Mkuu kama wewe ni muhusika nifate pm ntakupa cv yangu huko nipo serious na hili suala
Acha usumbufu wawekee vitu hapa wote waone Acha longolongo, umeanza hivyo unaonekana wewe tayari ni matatizo ndio maana huyo wa kwanza umefeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…