Kwa anayetafuta mume/mpenzi

Kwa anayetafuta mume/mpenzi

Acha usumbufu wawekee vitu hapa wote waone Acha longolongo, umeanza hivyo unaonekana wewe tayari ni matatizo ndio maana huyo wa kwanza umefeli
Hapana mkuu mwenye nia ya dhati cv ni kitu kidogo kwake wengine wanaekaga cv za uongo kikubwa ni utayari wa mtu
 
Wakuu nipo serious kama unatafuta mume either uolewe au tuishi kama wapenzi ni pm huenda tukaendana umri wangu 30's huyu nilokuwa nae kishanuka sitaki kusema kwanini kimenuka karibu

NB, hii ni kwa wanawake kama wewe ni dume kama mimi fuatilia uzi kimya kimya
Sawa una hela ?
 
Back
Top Bottom