INAUZWA Kwa anayetaka kufungua biashara ya kuuzia watu filamu au nyimbo (softcopy) karibu tufanye biashara

Master Movies Store samahani kukuingilia uzi wako mtaalam, mimi niko na 2TB harddisk ya desktop naiuza 100k tu. Kama hautajali mkuu naomba tangazo langu likae hapa, also nitakua willing kuifuta hii kama haitakufaa mkuu.
Uwe na Amani umeweka eneo sahihi Boss,Hapa mtu aweke chochote kinachohusiana na movie sina tatizo Mkuu, Ukipata Nyingine Pia zilete kwa bei reasonable mkuu,usiumize wana sanaaa.
 
Bwana Movies Store nilishawahi wasimulia hii kitu

wakaniona kama napiga mluzi porini nasaka kware

 
Watanzania unapowapa fursa wengi hukuona kama motivational Speaker
 
Huwa Napenda Movies zenye Asili ya Kigaidi na ambazo zinarelate na Sniper pia; Nikirudi bongo December ntakuchek boss, home ni huko huko
Karibu Mkuu,ukitoka huko majuu uteletee na vitendea kazi huku tunanyooshwa sana na bei za wabongo wachache wenye konekshen.
 
Kwa staili hii vijana hawakupigi kweli au umeweka camera?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…