Chief nakuja dar iv karibuni nataka tufanye biashara unapatikana wapi?Karibu Mkuu,ukitoka huko majuu uteletee na vitendea kazi huku tunanyooshwa sana na bei za wabongo wachache wenye konekshen.
Ghana paleWako maeneo gn mwanza?
Una La Revenge ile ya Mexico English version?Turkish series zipo za kutosha mKUUU tukianza na Dingi lao la historical Ertugul
ukiachana na ertugul kuna list kadhaa ya Hot Turkish Love stories kwa Historical series zote zipo boss...
Bir Umut Yeter (Action Kali sana)
Sampiyon (action iliyo emotional sana) Hapo utakutana na single father aliemlea mwanae aliezaliwa na mama mtu kufariki,Baba mtu hana kazi yani Kama machozi yapo karibu hii sio movie ya kutazama.
ICERDE (mashine ya Action)
Kurulus Osman (Historical)
Sanger (Historical)
Ask mantik itikam (Love story)
Teskilat (Hatari na Nusu)
Soz (Millitary Action Mchaka mchaka mwanzo mwisho kutana na bwana Agaaaaaaah na kina Yavuuuz)
ADA MASALI (ukitaka enjoy Week end Anza na hii)
Kis Gunes (hatari sana)
Marasli
Ariza
AND many many many more Turkish zote zilizopo nikimuwekea mteja hawezi ishia njiani, Turkish series ni nzuri wanajua sana.
Wale wa kutafsiriwa DJ murphy ana Turkish series za Hatari sana
Seen
Sanger
Alparslan
Soz
Icerde
Marasli
Teskilat
Kis Gunes
Sampiyon
Ferhat
Hiyo ni list ya DJ MURPHY moja ya ma DJ BORA kwa wakati huuu anae ingiza maneno kwa ufasaha akitafsiri movie safi kabisa No matusi, no lugha za kihuni DJ mstarabu na SMart..
Wapenzi wa Turkish karibuni
Wapenzi wa Philipines karibuni
Mataifa haya mawili Philipines na Turkish ni special case wana movie kali sanaaa ila wateja wengi hawajajua kuwa kuna vitu wana miss kwa kutoangalia movie toka sehemu hizi mbili, nadhani kama ni drama n love story philipines ni habari ingine.
Ahsante mkuuGhana pale
Chief una mpango wowote wa kufungua hii biashara mwanza?Pa1 chief oladipo
Sio kwa sasa kwakweli, ila nitafanya mbeleni hukoChief una mpango wowote wa kufungua hii biashara mwanza?
Aah poaSio kwa sasa kwakweli, ila nitafanya mbeleni huko
Vitu gani vya kuzingatia unapochagua location?Kawaida tu 20k 30k unapata ila kama location nzuri au siku business nzuri 100k au 90k
Hapana sina,Movie ambazo mteja anahitaji na sina kwenye Store Huwa nazi download mteja unaifata movie yako kesho au jioni kutegemea na umekuja saa ngapi na speed ya internet kwa siku husika.Una La Revenge ile ya Mexico English version?
Napigwa sana na najua napigwa,Muhimu hesabu yangu ya kila siku ifike,Nina Chat ambayo inaonyesha kila siku hesabu inahtajika sh ngapi.Kwa staili hii vijana hawakupigi kweli au umeweka camera?
1.Computer (Yenye Window Ten na SSD 256GB atleast)Mkuu mi nataka nifungue hii mkoa muda baada yakama. Miezi miwili hivi... nilitembelea ofisi ya cipherdot kuchukua series jamaa huwa mnatumia siftware gani...
Je kwa mwanzo ntahitaji nini na nini mkuu kwamtaji wa kama milioni nne hivi
Unaishi wapi Mkuu?Ombi
nipo dar mkuu,(mbezi mwisho)Unaishi wapi Mkuu?
Shukrani sana chiefNapigwa sana na najua napigwa,Muhimu hesabu yangu ya kila siku ifike,Nina Chat ambayo inaonyesha kila siku hesabu inahtajika sh ngapi.
Sijaweka kama Boda Boda,wao wanaambiwa hesabu sh 10,000 kwa siku,Mimi kwangu ipo tofauti.
Mfano wa Chat ni kama huu (hzi bei n mfano)
J3 = 100,000 (kiti ki 1 @50k)
J4=150,000 (kiti ki 1 @75k)
J5=200,000 (kiti ki 1@100k)
ALH=200,000(kiti ki 1@100k)
IJUM=200,000(kiti ki 1@100k)
JMOS=300,000(kiti ki1@150k)
J.PILI=300,000(kiti ki1@150k)
Nikisema kiti ki 1 maana yake ofisi zote zina computer mbili yani vijana wawili kila mmoja na mashine yake,na kila mmoja ana hesabu anatakiwa afikishe asipofikisha watajua na mwenzake wanasaidianaje jioni nikirudi nipate hesabu kamili.
Kijana atae ingia kazini anajua kabisa leo J3 boss akija kuchukua hesabu anakuja fata kiasi kadhaa, ninapoenda jioni siulizi A wala B nawambia tu wanipe changu.
wao wapate wasipate changu wananipa,na haijawahi tokea siku wakashndwa kunipa,Ofisi ina Generator umeme sio kigezo cha kukosa hesabu yangu.
Wanapiga pesa refu zaidi najua, maana wafanyakazi wangu Siwalipi mishahara wanajilipa wenyewe na ofisi zangu zinaenda,Japo kuibiwa nishaibiwa sana mpk hapo nilipokuja na huu utaratbu wakuweka hesabu.
Maana najua siku gani zina hela na siku gani hazina hela Najua.