INAUZWA Kwa anayetaka kufungua biashara ya kuuzia watu filamu au nyimbo (softcopy) karibu tufanye biashara

INAUZWA Kwa anayetaka kufungua biashara ya kuuzia watu filamu au nyimbo (softcopy) karibu tufanye biashara

JF kuna watu wana dharau sana hasa hasa kuchukulia poa hustle za watu, ili hali wengi wao humu wanaishi maisha ya kuigiza...

Ukitaka kujua mleta uzi anaongelea nini juu ya hii biashara, pata muda nenda kwenye ofisi za Bob paak iwe ni Kinondoni studio, sinza, Tabata, Mwanza au Dodoma.. Weka muda wa saa moja tu ukiwa unasubiria movies zako kuwekea kwenye flash then angalia order wanazopokea kutoka kwa wateja mbalimbali wanaopishana ofisini hapo, hauwezi juu hii ni weekend au ni katikati ya week, watu wako busy kuchukua movie...hapo ndio utajua kuwa kumbe hii ni bonge moja biashara

Tujifunze kutembea na kufanya research sio kuleta kejeli kwa kila jambo
Walio elewa na waelewe.
 
Tatizo ni kuwa baadhi ya watu wanaamini mtu akiwa na kazi fulani au biashara fulani (wanazoamini wao) ndio wanaamini inaingiza pesa au ni uwekezaji umefanyika. Biashara zingine wanaziangalia juu juu hawajui uwekezaji wake wala mapato yake lakini wanajiingiza kuziongelea ni aibu.
Ujuaji mwingi mbele giza
 
aAn
INAWEZEKANA,

Games store huwezi kuwa na Computer pekee,kwasababu si games zote wateja wanaenda chezea kwenye computer,61% wateja wa games wanaenda chezea kwenye PS.

Kwahiyo itakubidi kwenye games store yako unapoifungua uwe na PS humo ndani za kuchezeshea games na kuelekeza wateja mawili matatu kuhusu games wanazochukua kwako.

Mteja anaweza kuja kwako kutaka game ya PES lakini akakuta unaplay Call of DUTY akalipenda ila hajui licheza, hivyo n wajibu wako kumuelekeza chap chap basic step za kulicheza call of duty.

Baada ya hapo atanunua yote mawili PES + Call of Duty,ila mwanzo alikuja na wazo la kufata game 1 tu lkn umemshawishi kwasabbu amekuta PS ndani ina call of duty,akashawishika.

GAMES STORE nadhani ni ya kibabe zaidi na niwachache wenye nazo Nimekagua kagua nikagundua wengi waliopo wanachezesha Games,yani wana PS za kutosha humo ndani ila hawana Games za kuuzia wateja.

Na wakiwa nazo ni zile games ambazo tu wanachezesha wao.ila kwakua wewe unafungua GAMES STORE na lengo lako hasa si kuchezesha bali kuuza GAMES nadhani wale wenye PS wachezesha watu Games wote watakua wateja wako,ki ufupi kufupisha Maelezo GAMES STORE ni ya KIBABE SANA

LAKINI

Games Store si kama Movie Store,movie store unaweza anza hata na 50k ila Games Store mtaji wake BABA acha kazi ufanye kazi,watu nimewatajia 4M wanatafutana,GAMES store mtaji wake N malaika tu wa mbinguni ajuae.

Computer ya MOvie store si sawa na ya Gamer
Computer ya Gamer mpk inakamilika kucheza Games zote (bei yake n moto fire)

Ki ufupi GAMES STORE sio rahisi kama MOVIE STORE but the more the cost the more the Profit.. Games Store n biashara ya ki boss sana Mkuu usi i underestimate hata kidogo,usije ukawa na ka 1M kako ukaanza fikiria kufungua Games Store utasingizia watu wamekuloga. 1M hata mashine tu ya GAMER haitoshi so JIPANGE kabla hujadumbukia eneohiaAnte e

Mkuu upo deep sana, na umemweleza ukweli mtupu. Games store si mchezo, maana PS lazima uanzie kidogo 4 ambayo bei imechangamka iwe used / new.. kuna Pads na kuharibika ni kugusa tu, flat tv's / screens, computer, bado games zenyewe kuzipata bei yake au kudownload mengine yana gb za kutosha unaeza kaa siku 3 halijamaliza kudownload, kodi ya chumba cha biashara, umeme, usafi, osha, tra, bado hujagombana na wenyeviti wa mtaa na wazazi unaharibu watoto / wanafunzi n.k rahisi kuiona watu wanaifanya / kukuta vitoto vinacheza ukaichukulia kawaida, ila uwekezaji wake si mchezo, na pesa ipo sio ya mawazo, kuna watoto wa kiarabu wakipajua wanakuja kushinda siku nzima wanacheza, ukiweka na juice, sijui crips na vidude dude vingine utazikimbia hela aisee
Mkuu,ila mimi nilimaanisha gamestore ya android,kuna games za android full version kuzipata ni ngumu kwa sababu ya bundles za Tz, ndio nauliza kama ni reasonable au aliyewahi fanyaa?
 
"Loves the bodyguard"
Unayo ni ya kichina ilikuwa inaoneshwa startimes
 
aAn

Mkuu,ila mimi nilimaanisha gamestore ya android,kuna games za android full version kuzipata ni ngumu kwa sababu ya bundles za Tz, ndio nauliza kama ni reasonable au aliyewahi fanyaa?
sijaona anaefanya hiyo unayotaka,ifanye uwe wa kwanza tujifunze kwako.
 
yeah,since 2016 nafanya hizi kazi ila ni kwa upande wa zilizotafsiriwa
Kwann unatafuta Ajira sasa hivi,hauna kazi? Tangu 2016 to date n miaka 6 inaenda,Hujawahi fikiria kujiajiri?

maana ujuzi unao,nini shida mtu una experience tangu 2016 leo hii kutafuta Ajira?
 
aAn

Mkuu,ila mimi nilimaanisha gamestore ya android,kuna games za android full version kuzipata ni ngumu kwa sababu ya bundles za Tz, ndio nauliza kama ni reasonable au aliyewahi fanyaa?
Hii sijawahi kutana nayo chief
 
Kuna watu wanakuja PM wanasema BEI kubwa wanatamani kuanza,acheni niwambie kitu kimoja kiwasaidie wote mnaotaka kuanza hii biashara.

Mnapotaka kuanza hii biashara kama hauna Mtaji wa kutosha kaa na mtu mwenye uzoefu na hii kazi mpeane mawili matatu na akushauri namna sahihi ya kuanza.

mimi nina movie 60TB na zaidi lakn yawezekana nikikupa wewe hizi movie zote kulingana na nature ya eneo lako Movie utakazouza sana ziwe ni TB 1 tu movie za SWAHILI SINGLE ZILIZOTAFSIRIWA zile movie zngine series za kizungu kihindi wateja wako wakawa hawazihitaji.

Ukajikuta unaingia loss kutumia pesa mingiii kununua movie ambazo hazitoki,kwahyo ndugu zangu unapotaka kuanza hii biashara usianzie juu Anzia chini,sishauri mtu aanze na movie zote kama nlivyo mimi (hii n kwa wenye mitaji midogo) ila kwa wenye mitaji mikubwa na wanaotaka kujipanua kuwa na movie store zaidi ya 1 Kuanza kama mimi n LAZIMA kutakusaida sana.

ila kwa wenye mitaji ya 1M kushuka chini tutafutane tushauriane nini chakuchukua nini usichukue,maana naweza kukujazia 4TB nkakuwekea Old Movies n series za miaka ya 1995 mpk 2000's movie ambazo zinajaza space tu ila kuuza utauza mara moja moja sanaaaaaa (hazina wateja)

yanini yote hayo wakati unaanza hata hujui wateja wako wanapenda movie zipi? Kwa mnaotaka kuanza Anzeni kwanza kisha Mambo mengine ytafata. PM yangu ipo wazi msiogope.
 
3TB desktop ikiwa na package ya Movie za kwenda kuanza biashara kabisa Naiuza kwa 300k. Ukiichukua n kuchomeka kwenye mashine yako basi 5k to 10k per day n simple hiii n movie tu haina kitu kingine.
 
Nafundisha Wanafunzi wanaotaka kujua hii kazi, mpaka waelewe na kukabidhiwa ofisi wafanye kazi.

Mzazi kama una mwanao hujui kitu cha kumfungulia hii ni biashara nzuri ya kumfungulia kama unao mtaji,mlete nikufundishie aweze pambana na maisha hata kama ukiondoka leo Mtoto wako uwe umemuandalia mazigira ya kuishi bila kutamani cha mtu.

Kwa vijana mnaotamani hii na hamjui computer nafundisha pia Computer Basic kutumia mpk kuijua na baada ya hapo tutaanza fundishana Kazi na namna ya kuifanya hii kazi.

ADA si pesa mingi sana kwa anaejua computer Ada ni 100,000 (kwa mwezi), Kwa mwanafuzi asiejua computer kabisa kabisa hajui chochote kuhusu Computer ADA ni 150,000 (kwa mwezi).

Karibuni Computer za Kufundishiana zipo na zipo katka mazingira mazuri ya kufundishiana, Library ina 10 complete computer zilizo tayari kupokea watumiaji.

Karibuni wote Movies Store
 
Weka picha ya ofisi tuthaminishe.
 
Back
Top Bottom