Kwa anayetaka kumuhamisha mwanafunzi kwenda shule ya bweni ya serikali au private nzuri

Kwa anayetaka kumuhamisha mwanafunzi kwenda shule ya bweni ya serikali au private nzuri

AZATO

Member
Joined
May 17, 2013
Posts
21
Reaction score
1
Wandugu kama unataka kumwamisha mwanafunzi kutoka shule moja kwenda shule nyingine. Nko tayari kukusaidia

Piga 0755272776
 
Asante mkuu nahisi tutapona wengi. Je, utashughulikia uhamisho kulenga maeneo yapi? Na je utamaliza hatua zote wewemwenyewe?
 
Me nataka nihame kutoka shule ya Binza form five combi HGE nitashukuru ukinisaidia coz nataka nibadili komb kutoka HGL kwenda HGE ambayo haipo hapa xcul 0759622233
 
hata mimi nataka nihame toka benjamin william mkapa high school kuhamia minaki,ila kiukweli wazazi wangu hawapo tayari kwa hili suala ndugu yangu,ntashukuru kweli kama ukinisaidia maana naona pale kwenda na kurudi ni ishu usafiri unanicost.endapo n kweli utakua na nia ya kunisaidia utanifahamisha kwa kuniInbox ili niweze kujipanga na hata KUBANGAIZA vijisenti kwa wadau tofauti ili niweze ku a fford maana nahisi kuna chochote kitu kinachohitajika.I WILL NEED THE HELP NA NTASHUKURU SANA if UTANISAIDIA ndugu yangu.THX
 
Back
Top Bottom