Kwa anayetaka kuoa nashauri usioe mwanamke mwenye sifa hizi

Ni kweli wenye sifa hizo ni balaa, jichanganye uone, hakuna rangi utaacha kuona ndoani
 
Nina Swahiba wangu kaoa Mwanamke mwenye Mtoto ila hayo masharti yake sasa nahisi ndo hadi leo wapo wote..... Alimwambia "Katika Simu yako sitaki nione namba ya Mzazi mwebzako yaani sio kuongea nae tu hata namba yake sitaki niione katika Simu yako, nikikukuta unaongea nae au una namba yake no mazungumzo nakuacha hapo hapo.... alafu akiwa na shida ya Mwanae inabidi Mzazi mwenza aongee na Mama wa Mwanamke alafu Mama aongee na Mwanae yaani Mama ni kama kiunganishi pale kati, akimtaka Mtoto inabidi Mwanamke amchukue Mtoto ampeleke kwa Mama yake alafu yule Mzazi mwenza akamchukue kwa Mama wa Mke pia akitaka kumrudisha ni hivyo hivyo"
 
Upo sahihi mbee!!
 
Huyo kiboko! Anajihadhali lakini..!😆😅
 
Yote ya hayo ya nini wakati wasichana ambao hawajazaa wapo kibao
 
Huyo kiboko! Anajihadhali lakini..!😆😅
Shida wala hawawezi kujishikilia, nilikuaga na uhusiano na Singo Mama.... mbona nilijuta, Jamaa akipiga Simu moja tu Demu anaenda.... kisingizio SIWEZI KUMNYIMA KUMUONA MWANAE.... Baada ya siku kadhaa mara kajipost walienda Beach n.k, nikaona isiwe tabu🙌🙌🙌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…