Hiyo feature ya ABS inafanyaje kazi kwenye pikipiki au ina manufaa gani tofauti na ambazo hazina?View attachment 3467401View attachment 3467402
Kama yupo dealer wa hizi chuma kutoka bara la Asia, ajitokeze. Siku mfuko wangu ukituna aniletee ya KUMENYA mimi mwenyewe.
Bei isizidi 11M😎
📌 Faida kuu za ABS kwenye ADV160:Hiyo feature ya ABS inafanyaje kazi kwenye pikipiki au ina manufaa gani tofauti na ambazo hazina?
Asante sana mzee. Bike kwenye road za changarawe huwa ni mziki sana ku brake, kuteleza nje nje, nahisi hii itakuwa ni tiba sahihi.📌 Faida kuu za ABS kwenye ADV160:
1. Usalama wakati wa emergency braking
ABS inazuia matairi kufunga (lock) wakati unakanyaga breki ghafla.
Hii inakusaidia kubaki na control ya pikipiki badala ya kuteleza.
2. Stability kwenye barabara mbovu au zenye mvua
Kwa mvua au mchanga, bila ABS tairi linaweza kufunga na kusababisha pikipiki kuanguka.
ABS inahakikisha tairi linaendelea kuzunguka taratibu ili usidondoke.
3. Umbali wa kusimama unakuwa mfupi na salama
Ingawa si kila wakati, mara nyingi ABS husaidia pikipiki kusimama haraka zaidi kuliko breki za kawaida, bila ku-slide.
4. Confidence kwa rider
Unakuwa na ujasiri zaidi hata ukipita barabara mbovu au unapokuwa kwenye safari ndefu.
Wenyewe wanasema ni Adv-enture. Thailand, Indonesia, Phillipiness wanazitumia sana hata sehemu za milima...nadhani kwa mijini na service kwa wakati unaishi nayo kwa muda mrefu.Inafaa kwa town ila kwa shamba kama vilima vya kilosa naona itachemka
Foleni za town ushasave. Nineona hapo 45km/L almost Posta - Mbezi kwenda na kurudi.Wenyewe wanasema ni Adv-enture. Thailand, Indonesia, Phillipiness wanazitumia sana hata sehemu za milima...nadhani kwa mijini na service kwa wakati unaishi nayo kwa muda mrefu.
Kapo ki-sport zaidi, kwenye boot unaweza tupia ki-bag na vitu vidogo vidogo
TshHii 600k ni $ au Tshs?😄😄😄
Niko na vijana wanguHuwa unatengeneza mwenyewe mkuu?
Picha ni kama hy hy uliyopostUna picha hapo utume nione, isije kuwa najidanganya ni Honda (chuma) kumbe ni honda asilia ya miguu minne (4)😎