Kwa anayeweza kurekebisha android radio ya kwenye gari

Peter_John

Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
53
Reaction score
91
Habari zenu wakuu , kama Kuna fundi anaeweza kurekebisha hii redio anitafute pm, mm nipo Dar so na yeye awe Dar

Shida yake ni ukiiwasha inawaka izi taa za pembeni pekee
 
Attachments

  • IMG_20240103_145851.jpg
    747.5 KB · Views: 10
Habari zenu wakuu , kama Kuna fundi anaeweza kurekebisha hii redio anitafute pm, mm nipo Dar so na yeye awe Dar
View attachment 2862504

Shida yake ni ukiiwasha inawaka izi taa za pembeni pekee
Mimi nakusaidia pa kuanzia, nenda Posta, ukiwa unatokea Hindu Mandal mbele kulia kuna msikiti mbele round about izunguke kama unataka kwenda kutokea samora avenue, upande wa kulia kuna ghorofa Lina fremu nyingi hapo uliza Mao fremu yake anauza mapambo ya magari na hizo redio, utamaliza shida yako hapo.
 
Iyo round about ni Ile yenye sanamu la askari
 
Naaam nenda kwa dr toyota au lumunba pale mara nyingi mnaekewa android feki kwa ubahili wa elfu 50k au nenda saddam sound now wanafunga na kutengeneza
 
Naaam nenda kwa dr toyota au lumunba pale mara nyingi mnaekewa android feki kwa ubahili wa elfu 50k au nenda saddam sound now wanafunga na kutengeneza
50k !? Unamaanisha kukunua au kufungiwa, hakuna android redio ya 50k labda zile za kawaida ambazo azina display na hizo sio android redio
 
Nenda Manzese Argentina karibu na kituo cha mwendokasi kuna fundi anaitwa kapelo ni mtaalam sana wa hizo android
 
Nenda Manzese Argentina karibu na kituo cha mwendokasi kuna fundi anaitwa kapelo ni mtaalam sana wa hizo android
Huyo fundi ni maarufu kiasi nikiulizia hapo karibu na klhiko kituo Cha mwendokasi Cha Argentina nitaelekezwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…