Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Najiuliza maswali sipati jibuKawaida yetu ss ngozi black
Au sisi tuliumbwa tofauti?Huwa kuna kitu nyuma ya pazia
aisee ni kweli banaNimegundua wote wanaogawa hela kwa kutupa kwa mashabiki kwa asilimia kubwa kama sio wote duniani, ni watu wenye asili ya kiafrika (watu weusi). Sijajua kwa nini sisi weusi tunakuwa na akili za namna hiyo, huku wenzetu wazungu au watu weupe wanakuwa hawana huo mchezo.
Kitu gani unachotumia hapo kinazalishwa/kinatengenezwa mtaa uliopoNi utumwa wa fikra kujifananisha na wazungu, mnayajua wanayofanya wazungu kama moja ya mila zao ambayo waafrika hatufanyi?
Acheni uzuzu, kila mtu asimamie culture yake, kuhisi kama mzungu amestaarabika na wewe bado ni ujinga.
Kutupa hela ni sahihiSiyo kila wanachofanya wazungu ni sahihi
Kama hiyo ni tamaduni ya ngozi yetu basi ndivyo tulivyoumbwa siyo kwamba hatuna akili na wao ndiyo wanazo
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app