Kwa asilimia kubwa, watu wanaotuza mashabiki kwa njia ya kutupa hela ni watu wenye asili ya kiafrika (watu weusi)

Kwa asilimia kubwa, watu wanaotuza mashabiki kwa njia ya kutupa hela ni watu wenye asili ya kiafrika (watu weusi)

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Nimegundua wote wanaogawa hela kwa kutupa kwa mashabiki kwa asilimia kubwa kama sio wote duniani, ni watu wenye asili ya kiafrika (watu weusi). Sijajua kwa nini sisi weusi tunakuwa na akili za namna hiyo, huku wenzetu wazungu au watu weupe wanakuwa hawana huo mchezo.
 
aisee ni kweli bana
nimeanza kufikira
haraka haraka
sijui mzungu gani
ana tupa tupa kwa mashabik
 
Siyo kila wanachofanya wazungu ni sahihi
Kama hiyo ni tamaduni ya ngozi yetu basi ndivyo tulivyoumbwa siyo kwamba hatuna akili na wao ndiyo wanazo

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Ni utumwa wa fikra kujifananisha na wazungu, mnayajua wanayofanya wazungu kama moja ya mila zao ambayo waafrika hatufanyi?

Acheni uzuzu, kila mtu asimamie culture yake, kuhisi kama mzungu amestaarabika na wewe bado ni ujinga.
 
Kitu gani unachotumia hapo kinazalishwa/kinatengenezwa mtaa uliopo
 
Ni tabia za kimaskini, ukiishi kwenye umaskini sana alafu ukafanikiwa kupata basi unakuwa na hamu ya kufidia mambo ambayo unadhani ulishindwa kuyafanya au ukiyafanya utaonekana na wewe upo. Inaweza kuwa kama hiyo kutupatupa hela hovyo, kuwa na tabia za ajabu ajabu kama umalaya na unyanyasaji, kuvaa mavazi ya gharama sana au kula hovyo n.k. Wahenga walikuwa na msemo wao “Maskini Akipata Matako Hulia Mbwata. Ni watu wachache sana huwa wanafanikiwa kutokuwa na hii tabia. Hilo nj tatizo la kisaikolojia ambalo sijui kwanini liko sana kwa Waafrika (Weusi?)
 
Back
Top Bottom