Kwa Aston Villa hii Samatta atarudishwa kundini?

Kwa Aston Villa hii Samatta atarudishwa kundini?

__________________________________________________________

Samatta, meanwhile, came off the bench to make his ninth Super Lig appearance since teaming up with Fenerbahce in the summer on a season-long loan from Aston Villa.

The Tanzania international gave a good account of himself to help his side secure their 10th league win of the season.

__________________________________________________________________

Samatta replaced Senegal forward Mame Thiam with 15 minutes left to play and he played his part in his side’s victory.


The forward had 10 touches on the ball, struck one shot and had a 100 percent successful pass rate in the encounter.





Source: Babacar scores as Samatta’s Fenerbahce beat Alanyaspor | Goal.com
 
Kwani aliwakuta wanafanya vizuri!??

Kaenda dirisha dogo januari, aliikuta timu ni dhohoful hali..

Wabongo tuna matatizo sehemu, hatupendi maendeleo ya wengine sijui kwanini!
Si ndiyo hapo sasa, yani alikuta timu ipo hovyo inakaribia kushuka daraja, lakini bado wabongo wanaona kama yeye ndiyo kasababisha
 
Yeye arudi zake bongo na mabilioni yake ameshayashinda maisha kwa hakika almost 100% rich Nigga worth about 10B kwa sasa. Anunue apartments mitaa ya Masaki na Mikocheni hata Palm Village pale akiweza awe anakula kodi zake tu.

Akiweza kusimamisha kampuni ya branding and printing sio mbaya pia kazi nyingi.
 
Aston Villa aliyoiacha Mbwana sio kama ya sasa baada ya yeye kuondoka kwenda Uturuki kwa mkopo. Je, kuna uwezekano kiasi gani kwa Samatta kurudi tena Aston Villa kama mchezaji?
Hana ubavu tena kurudi aston villa
 
Huyu Samatta wa sasa hawezi kupata namba hata kwa Simba hii!! Anaweza kuanza tu kama Boko hayupo !
 
Hawa akina Samatta hawana mpira wa kuchezea EPL alibahatisha tu kwenda huko na ndio wale wachezaji wa kughushi umri ili waonekane ni wadogo wakati ni vijeba. Arejee tu amalizie mpira wake hapa kwenye ligi ya mchangani.
 
Hivi nyie mnamuonaje samatta?si keshawapiga Liverpool ikiwa na beki wake tegemezi kule england?
 
Back
Top Bottom