Kwa Authority/ precedent ya DPP V Yahaya Upanga & Another [1983] TLR 151 (HC), Hakimu ilibidi amuachie, lakini kwa vile, amefungwa mikono

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Nimefuatilia kwa makini kesi ya Lisu leo, kama kungelikuwa na free and fair judiciary, Hakimu Leo hii, angelimuachia Lisu.

Ame cite case zenye guvu ya kisheria sawasawa.

In DPP V. Yahaya Upanga & Another [1983] TLR 151 (HC),

the Court held:“

If the court refuses to adjourn the case after an application for adjournment,whether or not the case was ready for hearing on the day on which the refusal is made, and if the circumstances of the case are exceptional, the court may invoke its inherent powers by dismissing the charge and acquitting the accused.”
 
Attachments

Hivi huko ndani ya DPP ni kweli kwamba wanafanya kazi ya kumukomoa mh Lissu au wote ni vihiyo wa hiyo kesi criminial Appeal 329 of 1982?
Sidhani kama kuna mwenye nguvu ya kusema au kutenda lolote kinyume na wakubwa wanavyotaka, binafsi naamini kabisa DPP na timu yake wanajua kwamba wanayotenda sio halali Ila hawana namna zaidi ya kutii simu zinazoita.
 
Kesi ya uhaini mamlaka yake/jurisdiction ni High Court, the issue is whether a commital court inaweza kufuta shauri hilo ambalo kwa nature ya tuhuma, Kisutu haina jurisdiction. Kisutu wanafanya ku-compile jalada tu ili liwe committed High Court.

Yaani Sheria imetoa minimal jurisdiction kwa Kisutu, ambayo haijumuishi kufuta hilo shauri.
 
exctly, wanafuata maagizo......
 
Hapa nadhani kuna namna watu wa nje wamepanga huyu Bwana akae humo ndani for a specific time ili wawe na uhuru wa mambo yao ama wanamuona kama threat kwenye GE2025 . But hapa pia naona Mahakama haifanyi implementation ya full authority iliyo nayo kama mhimili wa serikali . Acha tuone nini wanakusudia lakini kwa akili nyepesi ni kupotezea muda tu mwisho wa siku wanasema hawana nia ya kuendelea na kesi
 
Kambi ya Lissu imejitahidi kukwepa utando wa buibui wa sheria usiwanase kama mdudu anavyonaswa na nyuzi za buibui. Wanajua wakileta mambo mengi Jamhuri inapeleka rufaa High Court jalada likae parking mwembeni

Sehemu pekee wamenasa ni kwa Lissu kuongea sana Mahakamani kwa masaa mengi. DPP wanafurahia hiyo kwa sababu inawasaidia kufanya muda uende sana na kesi iahirishwe
 
Kesi ya uhaini mamlaka yake/jurisdiction ni High Court, the issue is whether a commital court inaweza kufuta shauri hilo ambalo kwa nature ya tuhuma, Kisutu haina jurisdiction. Kisutu wanafanya ku-compile jalada tu ili liwe committed High Court.

Yaani Sheria imetoa minimal jurisdiction kwa Kisutu, ambayo haijumuishi kufuta hilo shauri.
Kuna wakati unaongea kama siyo Chawa

Kongole kwako 🐼
 
Kesi ya uhaini mamlaka yake/jurisdiction ni High Court, the issue is whether a commital court inaweza kufuta shauri hilo ambalo kwa nature ya tuhuma, Kisutu haina jurisdiction. Kisutu wanafanya ku-compile jalada tu ili liwe committed High Court.

Yaani Sheria imetoa minimal jurisdiction kwa Kisutu, ambayo haijumuishi kufuta hilo shauri.

haya umeyatoa wapi. Hakimu aliyasema hayo?
 
Kesi ya uhaini mamlaka yake/jurisdiction ni High Court, the issue is whether a commital court inaweza kufuta shauri hilo ambalo kwa nature ya tuhuma, Kisutu haina jurisdiction. Kisutu wanafanya ku-compile jalada tu ili liwe committed High Court.

Yaani Sheria imetoa minimal jurisdiction kwa Kisutu, ambayo haijumuishi kufuta hilo shauri.
Kwa hiyo Kisutu wanaweza Ku postpone each and every time until the return of the Messiah?
 
Nimefuatilia kwa makini kesi ya Lisu leo, kama kungelikuwa na free and fair judiciary, Hakimu Leo hii, angelimuachia Lisu.

Ame cite case zenye guvu ya kisheria sawasawa.

In DPP V. Yahaya Upanga & Another [1983] TLR 151 (HC),

the Court held:“

If the court refuses to adjourn the case after an application for adjournment,whether or not the case was ready for hearing on the day on which the refusal is made, and if the circumstances of the case are exceptional, the court may invoke its inherent powers by dismissing the charge and acquitting the accused.”
Halafu unategemea kina Muliro wataacha kumkamata tena? Discretion ya Hakimu Ilikuwa nzuri katika hili jambo.

"court may invoke....."
 
Back
Top Bottom