Sidhani kama kuna mwenye nguvu ya kusema au kutenda lolote kinyume na wakubwa wanavyotaka, binafsi naamini kabisa DPP na timu yake wanajua kwamba wanayotenda sio halali Ila hawana namna zaidi ya kutii simu zinazoita.Hivi huko ndani ya DPP ni kweli kwamba wanafanya kazi ya kumukomoa mh Lissu au wote ni vihiyo wa hiyo kesi criminial Appeal 329 of 1982?
Hakimu wa kulaumiwa hapoHivi huko ndani ya DPP ni kweli kwamba wanafanya kazi ya kumukomoa mh Lissu au wote ni vihiyo wa hiyo kesi criminial Appeal 329 of 1982?
exctly, wanafuata maagizo......Sidhani kama kuna mwenye nguvu ya kusema au kutenda lolote kinyume na wakubwa wanavyotaka, binafsi naamini kabisa DPP na timu yake wanajua kwamba wanayotenda sio halali Ila hawana namna zaidi ya kutii simu zinazoita.
Rost Alisha weka Wazi hiliSidhani kama kuna mwenye nguvu ya kusema au kutenda lolote kinyume na wakubwa wanavyotaka, binafsi naamini kabisa DPP na timu yake wanajua kwamba wanayotenda sio halali Ila hawana namna zaidi ya kutii simu zinazoita.
Kuna wakati unaongea kama siyo ChawaKesi ya uhaini mamlaka yake/jurisdiction ni High Court, the issue is whether a commital court inaweza kufuta shauri hilo ambalo kwa nature ya tuhuma, Kisutu haina jurisdiction. Kisutu wanafanya ku-compile jalada tu ili liwe committed High Court.
Yaani Sheria imetoa minimal jurisdiction kwa Kisutu, ambayo haijumuishi kufuta hilo shauri.
Kesi ya uhaini mamlaka yake/jurisdiction ni High Court, the issue is whether a commital court inaweza kufuta shauri hilo ambalo kwa nature ya tuhuma, Kisutu haina jurisdiction. Kisutu wanafanya ku-compile jalada tu ili liwe committed High Court.
Yaani Sheria imetoa minimal jurisdiction kwa Kisutu, ambayo haijumuishi kufuta hilo shauri.
Kwa hiyo Kisutu wanaweza Ku postpone each and every time until the return of the Messiah?Kesi ya uhaini mamlaka yake/jurisdiction ni High Court, the issue is whether a commital court inaweza kufuta shauri hilo ambalo kwa nature ya tuhuma, Kisutu haina jurisdiction. Kisutu wanafanya ku-compile jalada tu ili liwe committed High Court.
Yaani Sheria imetoa minimal jurisdiction kwa Kisutu, ambayo haijumuishi kufuta hilo shauri.
Halafu unategemea kina Muliro wataacha kumkamata tena? Discretion ya Hakimu Ilikuwa nzuri katika hili jambo.Nimefuatilia kwa makini kesi ya Lisu leo, kama kungelikuwa na free and fair judiciary, Hakimu Leo hii, angelimuachia Lisu.
Ame cite case zenye guvu ya kisheria sawasawa.
In DPP V. Yahaya Upanga & Another [1983] TLR 151 (HC),
the Court held:“
If the court refuses to adjourn the case after an application for adjournment,whether or not the case was ready for hearing on the day on which the refusal is made, and if the circumstances of the case are exceptional, the court may invoke its inherent powers by dismissing the charge and acquitting the accused.”
Unasikia. Hawa watu ni WAPUMBAVUHivi huko ndani ya DPP ni kweli kwamba wanafanya kazi ya kumukomoa mh Lissu au wote ni vihiyo wa hiyo kesi criminial Appeal 329 of 1982?
Kabisa kabisa......ule mhimili unachezewa Sana.Rost Alisha weka Wazi hili