Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa upande wa laptop chukua Msi Yenye Nvidia GTX 1060-2010 au hp Omen Yenye GTX model Hizo utaenjoy Kwa gaming, graphic , ArtHabari za JP wana JF.
Naomba kupewa muongozo wa simu na Laptop aina gani naweza pata Kwa budget ya 1.5 M Kwa vyote viwili.
Ahsante na karibu Kwa ushauri.
Mkuu labda ujamuelewa mleta mada, amesema budget 1.5m Tsh sio sio 1500USDKwa upande wa laptop chukua Msi Yenye Nvidia GTX 1060-2010 au hp Omen Yenye GTX model Hizo utaenjoy Kwa gaming, graphic , Art
Nazitamani sana hizo simu, vipi umeona zina kasoro zozote??Jaribu redmi note 13 pro
Naimiliki kwenye camera NI zaidi ya noma
InaendajeJaribu redmi note 13 pro
Naimiliki kwenye camera NI zaidi ya noma
MSI yako unauza shilingi ngapi mkuu, nicheki PM ili kama vipi tufanye biasharaMkuu labda ujamuelewa mleta mada, amesema budget 1.5m Tsh sio sio 1500USD
Ili apate ya hiyo specs brand sio chini ya dollar 1000 around.
Mleta uzi anatakiwa aseme ni kwa matumizi gani ili wadau wamshauri, aseme anataka new au used.
Akitaka used naweza kumuuzia MSI yangu
Ndiyo nayotumia kuchati na wewe sasaNazitamani sana hizo simu, vipi umeona zina kasoro zozote??
Sawa mkuu, bei yake ipoje sokoniNdiyo nayotumia kuchati na wewe sasa
Shida yoyote sijaiona zaidi ya kutambua kila siku najua vitu ambavyo nilikuwa sijui kama hii simu inayo
Ahsante mkuu, ila Kuna hizi Google pixel Huwa ni mtumba au brand mana naona watu wanazisifia sana.Upande wa simu sina specific model in mind ila fanya yote asije kushawishi mtu ukanunua simu ya mtumba kwa jina la Used from Dubai au kokote.
Hata iwe iPhone 15 pro max kwa 500K.
Me nataka PC ambavyo Iko faster kwenye Kila kitu na yenye SSD walau 512.Mkuu labda ujamuelewa mleta mada, amesema budget 1.5m Tsh sio sio 1500USD
Ili apate ya hiyo specs brand sio chini ya dollar 1000 around.
Mleta uzi anatakiwa aseme ni kwa matumizi gani ili wadau wamshauri, aseme anataka new au used.
Akitaka used naweza kumuuzia MSI yangu
Tena hizo hizo kwa kuhisi naona wewe utakuwa pesa umepewa, samahani kama nimekosea, kununua simu ya mtumba ni betting kupata nzuri au kukosa kabisa, simu ya mtumba ni miezi kadhaa tu utaanza kuwaza kubadili mara battery, mara display inaleta shida.Ahsante mkuu, ila Kuna hizi Google pixel Huwa ni mtumba au brand mana naona watu wanazisifia sana.
Nenda Instagram watafutie ubepar PC na zahoro matelefone.Habari za JP wana JF.
Naomba kupewa muongozo wa simu na Laptop aina gani naweza pata Kwa budget ya 1.5 M Kwa vyote viwili.
Ahsante na karibu Kwa ushauri.
Sawa mkuu ahsante Kwa ushauri wako.Tena hizo hizo kwa kuhisi naona wewe utakuwa pesa umepewa, samahani kama nimekosea, kununua simu ya mtumba ni betting kupata nzuri au kukosa kabisa, simu ya mtumba ni miezi kadhaa tu utaanza kuwaza kubadili mara battery, mara display inaleta shida.
Kama huwazi kupoteza jilipue na hizo pixel, ila nashauri weka 1.1M kwenye PC, then laki nne nenda maduka ya tigo tafuta simu za Xiaomi utaenjoy maisha.
Ukiingia Instagram utakuta na location walipo utakwenda kuwaona mkuuNipe location ya duka lao lipo wapi ili kuondoa risk ya kupigwa.