Kwa bajeti ya 1.5M naweza kupata simu na laptop za ubora gani?

Kwa bajeti ya 1.5M naweza kupata simu na laptop za ubora gani?

Mm natumia Redmi note 12, nimeuza, sasa nipe abc za hiyo Redmi note 13 pro tapata features gani advanced ukilinganisha na hii yangu ya Redmi note 12
Hiyo itakuwa moto wa kuotea mbali, upgrade
 
Matumizi ya laptop na simu ni yapi, ili tujaribu kukupa ushauri mzuri... Maana kila aina ya simu imetengenezwa kwa lengo, eg nyingine zimetengenezwa kwa ajili ya ubora wa picha unayopiga
 
Matumizi ya laptop na simu ni yapi, ili tujaribu kukupa ushauri mzuri... Maana kila aina ya simu imetengenezwa kwa lengo, eg nyingine zimetengenezwa kwa ajili ya ubora wa picha unayopiga
Kazi zangu nyingi natumia internet kujaza taarifa data kwenye mifumo ya online, nataka computer nyepesi, Iko faster na internet ya Kasi.
 
PC chagua HP elite book yoyote yenye
Processor 2.5GHz+
RAM 16GB+
SSD 1TB+
Battery 2hrs+

Smartphone chukua Samsung yoyote latest kwa hela itakayobakia,
Android 12+
Storage128GB+ au hata 64GB
Camera nzuri++

Kwisha 💉
 
Kazi zangu nyingi natumia internet kujaza taarifa data kwenye mifumo ya online, nataka computer nyepesi, Iko faster na internet ya Kasi.
Kwa Laptop matumizi yako priority tafuta Ryzen 5500U ama dada zake kama 5600U, 5700U etc hizi online ni around $300 na hapa Tanzania wapata chini ya milioni, All around ni cpu nzuri kwa kazi zako kuanzia efficiency, perfomance hadi graphics. Hayo mambo ya ssd yasikusumbue sana, let's say unapata yenye 256GB kwa 800K na yenye 512GB kwa 900K vyema chukua ya 800K halafu upgrade mwenyewe ssd kali.

Alternative tafuta intel core i3 1215U hizi unazipata around $250 online na hapa kwetu naziona hadi laki 7 used na mpya nazo hazifiki milioni pia.

Siku hizi si laptop zote unaweza upgrade ram, kama ram ni za kuchomelewa tafuta yangalau 16GB ram na kama ram unaweza upgrade hata yenye 8GB si mbaya utakuja kuongeza mbele ya safari.

Simu redmi turbo 3 ya kuagizishia lakini.
 
PC chagua HP elite book yoyote yenye
Processor 2.5GHz+
RAM 16GB+
SSD 1TB+
Battery 2hrs+

Smartphone chukua Samsung yoyote latest kwa hela itakayobakia,
Android 12+
Storage128GB+ au hata 64GB
Camera nzuri++

Kwisha [emoji382]
Mkuu Kwa pesa hiyo 1.5m budget tapata hiyo PC Kwa specification umezotaja HAPO na simu yenye 128gb Samsung?
 
Mkuu sometime unakuta minor features ndo zimeongezeka na mostly unakuta hauzitumii.
Ila Kwa haraka ongozeko ni fast charging 67w, camera 200p pamoja na network 5g.
note 13 pro ni bora mara 100 ya note 12
 
Kazi zangu nyingi natumia internet kujaza taarifa data kwenye mifumo ya online, nataka computer nyepesi, Iko faster na internet ya Kasi.
Internet ya kasi inategemea unatumia mtandao gani na ni 2G, 3G, 4G au 5G.
Unaweza kununua router ya 4G au 5G
 
Back
Top Bottom