jay-millions
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 3,983
- 10,034
Hiyo itakuwa moto wa kuotea mbali, upgradeMm natumia Redmi note 12, nimeuza, sasa nipe abc za hiyo Redmi note 13 pro tapata features gani advanced ukilinganisha na hii yangu ya Redmi note 12
Kazi zangu nyingi natumia internet kujaza taarifa data kwenye mifumo ya online, nataka computer nyepesi, Iko faster na internet ya Kasi.Matumizi ya laptop na simu ni yapi, ili tujaribu kukupa ushauri mzuri... Maana kila aina ya simu imetengenezwa kwa lengo, eg nyingine zimetengenezwa kwa ajili ya ubora wa picha unayopiga
Kwa Laptop matumizi yako priority tafuta Ryzen 5500U ama dada zake kama 5600U, 5700U etc hizi online ni around $300 na hapa Tanzania wapata chini ya milioni, All around ni cpu nzuri kwa kazi zako kuanzia efficiency, perfomance hadi graphics. Hayo mambo ya ssd yasikusumbue sana, let's say unapata yenye 256GB kwa 800K na yenye 512GB kwa 900K vyema chukua ya 800K halafu upgrade mwenyewe ssd kali.Kazi zangu nyingi natumia internet kujaza taarifa data kwenye mifumo ya online, nataka computer nyepesi, Iko faster na internet ya Kasi.
Mkuu Kwa pesa hiyo 1.5m budget tapata hiyo PC Kwa specification umezotaja HAPO na simu yenye 128gb Samsung?PC chagua HP elite book yoyote yenye
Processor 2.5GHz+
RAM 16GB+
SSD 1TB+
Battery 2hrs+
Smartphone chukua Samsung yoyote latest kwa hela itakayobakia,
Android 12+
Storage128GB+ au hata 64GB
Camera nzuri++
Kwisha [emoji382]
Ukienda zahoro usikubali kununua simu ya mtumba nunua mpya tu utanishukuruNipe location ya duka lao lipo wapi ili kuondoa risk ya kupigwa.
nielekeze chimbo ulilonunua na bei yakeJaribu redmi note 13 pro
Naimiliki kwenye camera NI zaidi ya noma
850000nielekeze chimbo ulilonunua na bei yake
note 13 pro ni bora mara 100 ya note 12Mkuu sometime unakuta minor features ndo zimeongezeka na mostly unakuta hauzitumii.
Ila Kwa haraka ongozeko ni fast charging 67w, camera 200p pamoja na network 5g.
Internet ya kasi inategemea unatumia mtandao gani na ni 2G, 3G, 4G au 5G.Kazi zangu nyingi natumia internet kujaza taarifa data kwenye mifumo ya online, nataka computer nyepesi, Iko faster na internet ya Kasi.