Omary - Msamalia
JF-Expert Member
- Jan 19, 2020
- 2,079
- 4,521
Now siko Bongo.Maelezo yako hayatoshelezi hata kidogo Kwanza unaishi wapi pia Hilo gari unalotaka ni used hapa bongo au unataka kuagiza?
pia Kwa hiyo bei yako ya milion 10 unahitaji namba B,C au D