Kwa bajeti ya 10M hadi 14M unapata Vanguard?

Kwa bajeti ya 10M hadi 14M unapata Vanguard?

Unaweza kuoata lakini hali yake sasa itakua sio nzuri kabisa.


Aidha, husika na hii post hapa

 
Maelezo yako hayatoshelezi hata kidogo Kwanza unaishi wapi pia Hilo gari unalotaka ni used hapa bongo au unataka kuagiza?
pia Kwa hiyo bei yako ya milion 10 unahitaji namba B,C au D
 
Back
Top Bottom