Kwa bajeti ya laki 2 unanishauri simu gani nzuri?

mimi mtakatifu

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2019
Posts
248
Reaction score
539
Habari zenu,

Naitaji smartphone ila bahati mbaya budget yangu ni ndogo.

Naomba ushauri wataalam kwa budget yangu ya laki 2 nitafute simu gani dukani.

Mimi brand kwangu sio ishu nayozingatia kikubwa ubora.
 
Nunua redmi note 5 used yenye hali nzuri kisha piga mautundu ukae na features zote za android 11. Maisha yaende
 
usithubutu kununua simu used zama hizi

nenda kanunue tecno or infinix yoyote kwa bei hiyo hutajutia
Habari zenu,

Naitaji smartphone ila bahati mbaya budget yangu ni ndogo.

Naomba ushauri wataalam kwa budget yangu ya laki 2 nitafute simu gani dukani.

Mimi brand kwangu sio ishu nayozingatia kikubwa ubora.
 
Hutapata simu ya viwango sana sana utapata Tecno, Itel n the like tena zile za memory ndogo
Mimi sina tatizo na brand, budget yangu ni ndogo na siwezi ongeza so choice lazima iwe limited.
 
Mkuu jitahidi ongezea 1 then kanunue Samsung Galaxy A21s mpyaaa,hutajuta ni nzuri sn
 
Habari zenu,

Naitaji smartphone ila bahati mbaya budget yangu ni ndogo.

Naomba ushauri wataalam kwa budget yangu ya laki 2 nitafute simu gani dukani.

Mimi brand kwangu sio ishu nayozingatia kikubwa ubora.
Samsung Galaxy A02

Haka ka simu ,ukimset seller mtaeewana ukikapata utainjoi sana kadogo ila amaizing mno mno. Hapo MOQ YAKE SI UMEONA YAJENGE TU ILA WAPO NA WENYE MOQ YA 1 ITEM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…