Kwa bajeti ya laki 2 unanishauri simu gani nzuri?

Kwa bajeti ya laki 2 unanishauri simu gani nzuri?

Chukua bei kikomo ambayo ni 197... Bado usafiri hapo , halafu wakishaweka minimum order hawawezi kuuza moja
Nimempa tu mfano ziko kule kwa familia ndogo mzee aliexpress plus shiping ni around 210000 hivi ,mie nilinunuaga ile wiki iliotoka tu kwa 230000 shiping fee ikiwa included kabisa
 
Nimempa tu mfano ziko kule kwa familia ndogo mzee aliexpress plus shiping ni around 210000 hivi ,mie nilinunuaga ile wiki iliotoka tu kwa 230000 shiping fee ikiwa included kabisa
Ok sawa ila mwana kasema havuki kilo2
 
Akae tekno manake ata samsung ni 210k kama sijakosea kwa alionesha Legend wetu mkwawa hapo
Anaweza kuagiza hizi.. Ambazo ziko kwenye clearance
Screenshot_20210523-100842.jpg
Screenshot_20210523-100737.jpg
 
Habari zenu,

Naitaji smartphone ila bahati mbaya budget yangu ni ndogo.

Naomba ushauri wataalam kwa budget yangu ya laki 2 nitafute simu gani dukani.

Mimi brand kwangu sio ishu nayozingatia kikubwa ubora.
chukua pro max
 
Siku hizi XIAOMI. wapo Tanzania, nenda TIGOSHOP angalia redmi 7A
 
usithubutu kununua simu used zama hizi

nenda kanunue tecno or infinix yoyote kwa bei hiyo hutajutia
Usitishe watu mkuu,badala yake washauri namna bora ya kujiweka mazingira salama.

Mfano
1,nunua kwa mtu unayemfahamu kama una haraka,hakikisha alikuwa anaitumia yeye mwenyewe.

2,kama ni wa mbali hakikisha anaitumia yeye pia,ina nyaraka zake zote za manunuzi au baadhi utakazoridhika nazo.

3,kama mazingira yote hayo juu yamekataa na bidhaa umeipenda nenda naye polisi mkaandikishiane huko.
 
Nimempa tu mfano ziko kule kwa familia ndogo mzee aliexpress plus shiping ni around 210000 hivi ,mie nilinunuaga ile wiki iliotoka tu kwa 230000 shiping fee ikiwa included kabisa
mkuu samahani swali langu liko nje ya mada kidogo, hivi nikiagiza kitu aliexpress huchukua muda gani mpaka kikufikia...!?, shipping method ulotumia wewe ni ipi, make zingine naona ghali sana.
 
Back
Top Bottom