Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,495
- 5,025
Nimempa tu mfano ziko kule kwa familia ndogo mzee aliexpress plus shiping ni around 210000 hivi ,mie nilinunuaga ile wiki iliotoka tu kwa 230000 shiping fee ikiwa included kabisaChukua bei kikomo ambayo ni 197... Bado usafiri hapo , halafu wakishaweka minimum order hawawezi kuuza moja
Ok sawa ila mwana kasema havuki kilo2Nimempa tu mfano ziko kule kwa familia ndogo mzee aliexpress plus shiping ni around 210000 hivi ,mie nilinunuaga ile wiki iliotoka tu kwa 230000 shiping fee ikiwa included kabisa
Akae tekno manake ata samsung ni 210k kama sijakosea kwa alionesha Legend wetu mkwawa hapoOk sawa ila mwana kasema havuki kilo2
Infinix note 8...hutojutiaSawa mkuu. Infinix sijawai tumia ila nasikia zinaongelewa sana. Toleo gani zuri kwa laki2?
Anaweza kuagiza hizi.. Ambazo ziko kwenye clearanceAkae tekno manake ata samsung ni 210k kama sijakosea kwa alionesha Legend wetu mkwawa hapo
chukua pro maxHabari zenu,
Naitaji smartphone ila bahati mbaya budget yangu ni ndogo.
Naomba ushauri wataalam kwa budget yangu ya laki 2 nitafute simu gani dukani.
Mimi brand kwangu sio ishu nayozingatia kikubwa ubora.
Acha akachukue xiaomi itamfarijiSiku hizi XIAOMI. wapo Tanzania, nenda TIGOSHOP angalia redmi 7A
Okay sawa mkuu hiyo kama imenishawishi sanaSiku hizi XIAOMI. wapo Tanzania, nenda TIGOSHOP angalia redmi 7A
Usitishe watu mkuu,badala yake washauri namna bora ya kujiweka mazingira salama.usithubutu kununua simu used zama hizi
nenda kanunue tecno or infinix yoyote kwa bei hiyo hutajutia
Boss hakuna simu hapa[emoji23][emoji23]Anaweza kuagiza hizi.. Ambazo ziko kwenye clearanceView attachment 1794818View attachment 1794819
hawez kupata kwa laki 2Infinix note 8...hutojutia
Lazima uangalie details la sivyo utapata kanyaboyaBoss hakuna simu hapa[emoji23][emoji23]
Kama tuko mtoni tunavua basi hayo ni mandubwi,au machura[emoji23][emoji23]
Umenichekesha. mandumbwi aka Vichwa Rungu πππBoss hakuna simu hapa[emoji23][emoji23]
Kama tuko mtoni tunavua basi hayo ni mandubwi,au machura[emoji23][emoji23]
mkuu samahani swali langu liko nje ya mada kidogo, hivi nikiagiza kitu aliexpress huchukua muda gani mpaka kikufikia...!?, shipping method ulotumia wewe ni ipi, make zingine naona ghali sana.Nimempa tu mfano ziko kule kwa familia ndogo mzee aliexpress plus shiping ni around 210000 hivi ,mie nilinunuaga ile wiki iliotoka tu kwa 230000 shiping fee ikiwa included kabisa
Nimechukua redmi 9 A niliongeza hela kidogo 300k.Acha akachukue xiaomi itamfariji
Hongera sanaNimechukua redmi 9 A niliongeza hela kidogo 300k.