Kwa bajeti ya milioni 3, Pikipiki gani anafaa kwa maeneo ya milimani?

Kwa bajeti ya milioni 3, Pikipiki gani anafaa kwa maeneo ya milimani?

1000398537.jpg
 
Haojue siujuwi kabisa, ndiyo nasikia leo
HAOJUE
Ni pikipiki nzuri sana vipuri vyake affordable kabsa.Inafaa kwa mizigo heavy,safari za mbali.imagine inauweyo wa kubeba kg 800-900 za mbaazi.
Kupakia mtu 5-6 kwa safari ndefu.
Pia hachakai haraka kama nyinginezo.
Pia kuna aina zake ikiweno (1) haojue ya kawaida
2) Haojue mayai 150-6
3) Haojue timing chain 150-8
Kama ya mizigo chukua
Ya kawaida.
KINGLION
Ni pikipiki bora sana kwa mizigo
Pia ina engine ya 150cc
Kwahyo kama unataka ya mizigo hii inafaa sana lakini huwa inaubovu kwenye keria ya siti mpaka uimodfy ili mzigo ukae vyema.
Mad Max
 
Hizo chuma ukienda Moro, milimani kule kwenye waterfalls izo ndio zinapanda. Ile milima ni shikamoo.
 
Back
Top Bottom