Masai wa Town
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 7,009
- 25,406
wasubiri wajuziWakuu,
Kati ya Sinoray, T-Better, Honda na King lion ni ipi inafaa kwa maeneo ya milimani kwa bajeti ya milioni 3?
Ahsantewasubiri wajuzi
Nunua King Lion Nyangulo..Wakuu,
Kati ya Sinoray, T-Better, Honda na King lion ni ipi inafaa kwa maeneo ya milimani kwa bajeti ya milioni 3?
kumbe!🙄King Lion milimani inapita kama tambarare na ikiwa na mzigo ndo utabweda zaidi.
Haojue siujuwi kabisa, ndiyo nasikia leoHapo haojue tu mvumilivu,mafuta kidogo mzigo mkubwa ujue haojue inapakia zaid ya kilo 800 za mbaazi na haitetereki.
SawaNunua King Lion Nyangulo..
HAOJUEHaojue siujuwi kabisa, ndiyo nasikia leo
Hizo chuma ukienda Moro, milimani kule kwenye waterfalls izo ndio zinapanda. Ile milima ni shikamoo.HAOJUE
Ni pikipiki nzuri sana vipuri vyake affordable kabsa.Inafaa kwa mizigo heavy,safari za mbali.imagine inauweyo wa kubeba kg 800-900 za mbaazi.
Kupakia mtu 5-6 kwa safari ndefu.
Pia hachakai haraka kama nyinginezo.
Pia kuna aina zake ikiweno (1) haojue ya kawaida
2) Haojue mayai 150-6
3) Haojue timing chain 150-8
Kama ya mizigo chukua
Ya kawaida.
KINGLION
Ni pikipiki bora sana kwa mizigo
Pia ina engine ya 150cc
Kwahyo kama unataka ya mizigo hii inafaa sana lakini huwa inaubovu kwenye keria ya siti mpaka uimodfy ili mzigo ukae vyema.
Mad Max
Kweli kuna milima sio poa kwa chuma kaMA HAOJUE KINGLION vyuma vya kazi hv mdau sasa kwake tu kilichobaki ni akiki kumkichwaHizo chuma ukienda Moro, milimani kule kwenye waterfalls izo ndio zinapanda. Ile milima ni shikamoo.
Hivi vi Boxer TVS vya kibishoo haipandi mlima na mzigo.Kweli kuna milima sio poa kwa chuma kaMA HAOJUE KINGLION vyuma vya kazi hv mdau sasa kwake tu kilichobaki ni akiki kumkichwa
HakikaFekon 125 achan na 150
125 ina power balaa kwenye mlima afu uwe na mzigo ni km king lion alafu si nyepes kupinda mkas i