Kwa bajeti ya milioni 3, Pikipiki gani anafaa kwa maeneo ya milimani?

Hivi vi Boxer TVS vya kibishoo haipandi mlima na mzigo.
Hivyo vya kulia bata tu na havitaki kasheshe yoyote
Kwa boxer na tvs vikibebeshwa nyomi na mizigo mwaka haupiti inakuwa screpa.
Labda hizi ziwe za boda tu kwa mizigo hapana itakuchosha tu....
 
Fekon 125 achan na 150
125 ina power balaa kwenye mlima afu uwe na mzigo ni km king lion alafu si nyepes kupinda mkas i
Fekon kama sanlg tu hizi pikipiki ni shahimilivu sana,mafuta kidogo nguvu ya kawaida..
Lakini huwa zikichakaa utengeneze tena haiwi kwenye ubora wake uleule itataka marekebisho tena na tena...
 
Ni kweli haojue ni pkpk imara sana isipokuwa ukiibebesha mzigo mkubwa inanyanyuka mbele.
Haojue pia zinatamba sana mkoa wa Morogoro na kwa uchache Tanga.
Engine yake inakaa muda mrefu sana haipigi manyanga.
Nina haojue namba C mwaka wa 9 huu ipo vzr na naipigisha heavy duties.
Pkpk inategemea sehemu na sehemu.
Kwa mkoa wa Moro ukiwa na haojue kuiuza ni chap.
 
Hapo haojue tu mvumilivu,mafuta kidogo mzigo mkubwa ujue haojue inapakia zaid ya kilo 800 za mbaazi na haitetereki.
Haojue hamfikii KEEWAY, zilishindanishwa sehemu, haojue alikaa, KEEWAY zina nguvu balaa na mlimani kama tambarale tu. Sijui kuhusu SINORAY.
 
Reactions: PYD
Haojue hamfikii KEEWAY, zilishindanishwa sehemu, haojue alikaa, KEEWAY zina nguvu balaa na mlimani kama tambarale tu. Sijui kuhusu SINORAY.
Elewa kuna uvumilivu na vumilivu ya muda keeway hata mm nazielewa lakn hazfkii haojue inavumilia na haichakai haraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…