Kwa bajeti ya Milioni 30, naweza kuhamia nyumba yenye sifa hizi?

Kwa bajeti ya Milioni 30, naweza kuhamia nyumba yenye sifa hizi?

Hujadadavua vizuri mkuu, vyumba vinne vya kulala? Prayer room, office, dinning sitting, jiko na vyoo? na fence vyote kwa 30m?
 
Hujadadavua vizuri mkuu, vyumba vinne vya kulala? Prayer room, office, dinning sitting, jiko na vyoo? na fence vyote kwa 30m?
Vyumba vya kulala vinne vya kulala mkuu.

Yap vyote kwa 30m

Ila peayer , ofisi, vyumba vya kulala viwili sitavifanyia furinishing kwwnza, ukuta pia sita upiga rangi
 
Eti wakuu kwa bajeti ya milioni 30 nawezasdae kuamia nyumba ya vyumba vinne yenye kiofisi na prayer room ndogo huku nikiwa sijamalizia finishing nyingine?

Location: kanda ya ziwa
Ukubwa nyumba: 13.5m x 8.65m
Ina fence ya ukuta

Karibuni wakuu.
Huku umepotea njia utaniamini baadae
 
Kila la kheri katika kushtua ujenzi mkuu
 
Back
Top Bottom