TheGreatest Of AllTime
JF-Expert Member
- Mar 14, 2025
- 207
- 679
Ukuta (fence) ya mateteHujadadavua vizuri mkuu, vyumba vinne vya kulala? Prayer room, office, dinning sitting, jiko na vyoo? na fence vyote kwa 30m?
Vyumba vya kulala vinne vya kulala mkuu.Hujadadavua vizuri mkuu, vyumba vinne vya kulala? Prayer room, office, dinning sitting, jiko na vyoo? na fence vyote kwa 30m?
Hiyo ni nyumba kubwa sana, utahamia kwenye nyumba ambayo haijaisha japo binafsi sijui gharama za ujenzi huko kanda ya ziwa zikojeUkuta (fence) ya matete
hata 10M unajenga the more the quality the more the priceEti wakuu kwa bajeti ya milioni 30 naweza kuamia nyumba ya vyumba vinne yenye kiofisi na prayer room ndogo huku nikiwa sijamalizia finishing nyingine?
Location: kanda ya ziwa
Ukubwa nyumba: 13.5m x 8.65m
Ina fence ya ukuta
Karibuni wakuu.
Huku umepotea njia utaniamini baadaeEti wakuu kwa bajeti ya milioni 30 nawezasdae kuamia nyumba ya vyumba vinne yenye kiofisi na prayer room ndogo huku nikiwa sijamalizia finishing nyingine?
Location: kanda ya ziwa
Ukubwa nyumba: 13.5m x 8.65m
Ina fence ya ukuta
Karibuni wakuu.