Plato
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 420
- 94
ndugu,naishi nyumba za kupanga uswahilini.sasa nje ya dirisha langu hukaa wakina mama nikiwa nimepumzika ndani.wanaongea hao nami nawasikia.lakini sina mazoea nao.sasa juzi nilisikia mmoja anamwambia mwenziye umuhimu wa kula kwa bakhresa wakati wa tendo.sikuelewa hicho nini.ukiacha mizaha ya baadhi yetu,kuna maarifa muhimu nayapata humu jamvini.nisaidieni