kwa Bakhresa ndo nini wakati wa malavidavi?

kwa Bakhresa ndo nini wakati wa malavidavi?

Sijui nitahama lini uswazi, kunanifurahisha sana, mademu hawaombi hela kubwa bali husema, "naomba sh`ngi mia", kila mtu anafungua mziki kwa sauti ya juu yaani ni vurugu na furaha tupu, mwingine taarabu, mwingine bongo fleva, Rose Mhando, Ali Choki, Wazee wa Masauti nk.


Nyumba za ku-share kupika ni kwenye korido, mwingine anapika nyama, mwingine matembele, mwingine hana cha kupika katumbua macho tu nk.

Kero ni harusi za Kizaramo, wanakodi muziki mkubwa wanapiga siku mbili kabla ya harusi, wanakatika viuno usiku kucha, yaani hapo ndio kero kubwa.

we acha kuusema mtaa wetu
 
:clap2: Mie demu wangu huwa hawezi kunipa nanihiiiiiiiii bila kwanza kula KONI, ni tamu sana atiiiii!:sick:
 
Back
Top Bottom