Rose1980
JF-Expert Member
- May 10, 2010
- 5,684
- 1,305
Mkuu hiyohiyo nini, tueleweshane... isijetokea siku moja nimechukua demu wa uswazi ananiambia anataka kula bakresa mimi nashangaa!!!
inaonekana unajua sasa wauliza nin?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hiyohiyo nini, tueleweshane... isijetokea siku moja nimechukua demu wa uswazi ananiambia anataka kula bakresa mimi nashangaa!!!
SIO KONI USIKREM NI MTANDAO WA NUSU SHILINGi
Sijui nitahama lini uswazi, kunanifurahisha sana, mademu hawaombi hela kubwa bali husema, "naomba sh`ngi mia", kila mtu anafungua mziki kwa sauti ya juu yaani ni vurugu na furaha tupu, mwingine taarabu, mwingine bongo fleva, Rose Mhando, Ali Choki, Wazee wa Masauti nk.
Nyumba za ku-share kupika ni kwenye korido, mwingine anapika nyama, mwingine matembele, mwingine hana cha kupika katumbua macho tu nk.
Kero ni harusi za Kizaramo, wanakodi muziki mkubwa wanapiga siku mbili kabla ya harusi, wanakatika viuno usiku kucha, yaani hapo ndio kero kubwa.