itakuwa ndo hiyohiyo naniii!mmmh,mimi nilisikia bakhresa ni nanihii,isije ikawa wanakusudia nanihii?nafikiri utakuwa umeelewa.haina haja ya kuchambua
Mkuu hiyohiyo nini, tueleweshane... isijetokea siku moja nimechukua demu wa uswazi ananiambia anataka kula bakresa mimi nashangaa!!!itakuwa ndo hiyohiyo naniii!
Mkuu hiyohiyo nini, tueleweshane... isijetokea siku moja nimechukua demu wa uswazi ananiambia anataka kula bakresa mimi nashangaa!!!
bhakhresa ni mwarabu.......na waarabu wanasifika kwa kupenda nini.....kuna mawili sasas hapo either wanamaanisha kule kunakotoa hajakubwa au wanamaanisha kuenda kuramba koni kile kiungo cha uzazi cha mwanaume....maana BHAKhRESA huyo huyo nae anatengeneza koni icecream ramba ramba ball koni zina chocolate kuila lazima baadae uilambe.....
mkuuu si ujue anataka kula koni! sorry kulamba!Mkuu hiyohiyo nini, tueleweshane... isijetokea siku moja nimechukua demu wa uswazi ananiambia anataka kula bakresa mimi nashangaa!!!
bhakhresa ni mwarabu.......na waarabu wanasifika kwa kupenda nini.....kuna mawili sasas hapo either wanamaanisha kule kunakotoa hajakubwa au wanamaanisha kuenda kuramba koni kile kiungo cha uzazi cha mwanaume....maana BHAKhRESA huyo huyo nae anatengeneza koni icecream ramba ramba ball koni zina chocolate kuila lazima baadae uilambe.....
muulizacswali ameuliza,umuhimu wa kula kwa bakhresa wakati wa tendo,ndio maana unahisi nanihii.ingekuwa amesema kwenda kwa bakharesa kula koni,ingeeleweka vyengine.kila kukicha nanihii inakuwa na majina mengijamani acheni kuumiza vichwa kupotosha lugha kwa bakresa ni kula koni, icecream, lamba lamba thats all akuna la nyongeza wakuu
Sijui nitahama lini uswazi, kunanifurahisha sana, mademu hawaombi hela kubwa bali husema, "naomba sh`ngi mia", kila mtu anafungua mziki kwa sauti ya juu yaani ni vurugu na furaha tupu, mwingine taarabu, mwingine bongo fleva, Rose Mhando, Ali Choki, Wazee wa Masauti nk.
Nyumba za ku-share kupika ni kwenye korido, mwingine anapika nyama, mwingine matembele, mwingine hana cha kupika katumbua macho tu nk.
Kero ni harusi za Kizaramo, wanakodi muziki mkubwa wanapiga siku mbili kabla ya harusi, wanakatika viuno usiku kucha, yaani hapo ndio kero kubwa.
Jamni Bakhresa si anakiwanda cha Koni labda kula koni ya kikubwa lol :coffee::coffee: