Kwa bango hili maridhiano yako ICU

Yale yako sawa ni walienda kweli au picha ni za kutengenezwa
Maridhiano maana yake siasa sio uadui ndo msingi wa maridhiano haimaanishi kwamba wasikoselewe kazi ya chadema kama chama cha upinzani ni kukosoa

Kwa akili yako ndogo unadhani maana ya maridhiano ni chadema wasimkosoe sami au serekali yake hapana
 
Hawa watu hawaeleweki wanachokisimamia au kukipigania!! Hawa ndo wanataka utawala wa sheria ila hapo wanalazimisha Rais aingilie mhimili mwingine(mahakama)!!

Hawa ni mapopoma
 
Maridhiano ya KITAPELI haya, Rais ameonesha dharau kubwa sana
Maridhiano haimaanish chadema hawakosoi tena, wanaendelea kukosoa kama kawaida

Maridhiano maana yake siasa sio uadui kama magufuli alivyogeuza siasa ni uadui hata kuzikana au mwanachadema akiumwa alikua anapiga marufuku kwa mwana ccm kwenda kumuangalia
 
Hawa watu hawaeleweki wanachokisimamia au kukipigania!! Hawa ndo wanataka utawala wa sheria ila hapo wanalazimisha Rais aingilie mhimili mwingine(mahakama)!!

Hawa ni mapopoma
Utawala gani wa sheria kesi inakaa miaka mitano. Nini kinachelewesha kesi?. Tuache unafiki wa kutetea ujinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…