johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mahakama ingeamua tu vyovyote vile hili jambo lifike mwisho!Utawala gani wa sheria kesi inakaa miaka mitano. Nini kinachelewesha kesi?. Tuache unafiki wa kutetea ujinga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mahakama ingeamua tu vyovyote vile hili jambo lifike mwisho!Utawala gani wa sheria kesi inakaa miaka mitano. Nini kinachelewesha kesi?. Tuache unafiki wa kutetea ujinga.
Hawa hawaonekani kukosea wamedhamiriaMaridhiano haimaanish chadema hawakosoi tena, wanaendelea kukosoa kama kawaida
Maridhiano maana yake siasa sio uadui kama magufuli alivyogeuza siasa ni uadui hata kuzikana au mwanachadema akiumwa alikua anapiga marufuku kwa mwana ccm kwenda kumuangalia
Yani BAWACHA walimheshimu, yeye kaenda kuwazunguka kwa majaji waikawize kesi mpaka 2025.Sidhani kama Bawacha wanaelewa maana ya Dharau!!
Hivi kesi iliyopo mahakamani inahusiana na ubunge? Ile inahusiana na uanachama tuu. Toka lini ukimpa talaka mkeo aka omba mahakama itengue talaka hiyo wakati wa kesi Mtakuwa mbaendelea kumeng'enyuana?Hawa watu hawaeleweki wanachokisimamia au kukipigania!! Hawa ndo wanataka utawala wa sheria ila hapo wanalazimisha Rais aingilie mhimili mwingine(mahakama)!!
Hawa ni mapopoma
Sasa itakuwaje Yale mabango nchi nzima
Kwani Chadema wakibaniwa watafanyaje?
Atoe kwanza hiyo hukumu , mengine Ni umbea.Hukumu ikitoka watasema jaji hajui kiingereza na kapewa maelekezo
Sawa afsa chawaWewe ukiwa kichaa mkuu. Umejuaje chadema Kuna vichaa Kama wewe sio kichaa. Punguza unafiki.
Ni wivu tu Huna jipyaukimtoa mbowe cdm kuna vichaaa wengi sana
Kusema ukweli ndio kosa. Yeye amekosea mangapi?. Mama amejaa dharau.Mama ni mpole, mnyenyekevu, mcha Mungu.
Amesamehe na kazi inaendelea.
Nature itachukuwa nafasi.Kwani Chadema wakibaniwa watafanyaje?
johnthebaptist njoo hukuSasa itakuwaje Yale mabango nchi nzima
ukichaa plus uchawa=weweNi wivu tu Huna jipya