Kwa bango hili maridhiano yako ICU

Kwa bango hili maridhiano yako ICU

Maridhiano haimaanish chadema hawakosoi tena, wanaendelea kukosoa kama kawaida

Maridhiano maana yake siasa sio uadui kama magufuli alivyogeuza siasa ni uadui hata kuzikana au mwanachadema akiumwa alikua anapiga marufuku kwa mwana ccm kwenda kumuangalia
Hawa hawaonekani kukosea wamedhamiria
 
Utawala gani wa sheria kesi inakaa miaka mitano. Nini kinachelewesha kesi?. Tuache unafiki wa kutetea ujinga.
Hivi rufaa ya akina mdee mlikaa nayo mda gani vile?
 
Fv2MN-sWwAc1cpE
He!!!
 
..Kuondolewa kwa Covid-19 ni moja ya madai ya Cdm ktk maridhiano.

..Sasa kwanini Samia inaendelea kuwalinda Covid-19.

..Katika mambo ambayo ni marahisi kuyatekeleza ni hili la Covid-19.

..Samia ameshauriwa vibaya ktk hili.

..Kwa kushindwa kuchukua hatua ameonyesha kwamba kuna UNAFIKI / KUDANGANYANA ktk maridhiano.
 
Nchi hii ni heri wazungu wangeelea kutawala Sasa ofisi za Bunge zinafungwa kukimbia mabango 🚮🚮🚮
 
Hawa watu hawaeleweki wanachokisimamia au kukipigania!! Hawa ndo wanataka utawala wa sheria ila hapo wanalazimisha Rais aingilie mhimili mwingine(mahakama)!!

Hawa ni mapopoma
Hivi kesi iliyopo mahakamani inahusiana na ubunge? Ile inahusiana na uanachama tuu. Toka lini ukimpa talaka mkeo aka omba mahakama itengue talaka hiyo wakati wa kesi Mtakuwa mbaendelea kumeng'enyuana?
Acheni ujinga, kuna mawili hapo, moja walifoji kwenda bungeni na sio kwa ridhaa ya chama na pili kwa sasa sio wanachama wa Chadema.
Kuendelea kuwa nao ni kudharau maridhiano na hata Mhe Samia asipate mawazo kuwa haya maridhiano ni favor kwa Chadema bali ni nafuu kwake na CCM maana bila hivyo Sukuma gang wako pembeni wanamuotea.
 
Back
Top Bottom