Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Mkuu hii baridi ndio kawaida tunawasha AC.Kaka karibu Arusha Sasa sijui kama utamaliza siku mojahuku
Watu wa dar buana
Atleast sahivi kwetu ni wilaya ya ubungo😂😂😂Tunalala hadi na feni unaita baridi. Watoto wa Kinondoni mnadeka sana.