GE2025 Kwa binafsi yangu, Makonda hatufai Arusha mjini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kaka leo umemkana jamaa yako wa muda wote
 
Gambo amefanya maendeleo ambayo huyo jamaa sijui kama ataweza kufanya kwa kupindi chake sijui wamewaza ninj hao ccm aisee...
 
Braza umemuona huyoo tu...? Kweli?? Inchi yote hii mbona midudunda na mipopoma iko mingi sana............huyo hana madhala kama haya mengine
 
aw
Fight for Reform
Nyie ndio mmeshikiwa akili na mifumo, Hao wabunge sana wanatafuta ajira kwa faida za familia zao, Sasa endeleeni kujitoa ufahamu mkizania akija nani ndio itakuwa sawa.

Mnadanganywa na maendeleo ya pipi.
 
Nyie ni mabwege
 
We endelea kulamba miguu watu. Yasiyokuhusu achana nayo.
 
DAB anatakiwa awe jela
 
Gambo amefanya maendeleo ambayo huyo jamaa sijui kama ataweza kufanya kwa kupindi chake sijui wamewaza ninj hao ccm aisee...
Maendeleo yapi?

Bado kuna porverty kwa raia wengi sana, Huduma za afya ni shida sana mno, Ajira hakuna, Mifumo ya kodi sio rafiki kabisa, mazingira magumu ya ufanyaji biashara, na kadhalika, nyie mlivyo wapumbavu, mnaangalia idadi ya Barabara za lami? Zinaondoa umasikini? zinafanya mifumo ya afya kuwa Bora? Zinafanya kuwe na mifumo rafiki ya kodi?

Ujinga sidhani kamautawaisha Wabongo, sidhanii kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…