Doria Mtandaoni
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 461
- 934
Ndiyo maana nikashauri uRC ulikuwa unamtosha zaidi. Kama anapendwa sana ateuliwa kuwa mbungeSikiliza kwa utawala na mifumo ilivyo hata yesu akiwa Mbunge hakuna atakacho fanya, sijui kama mna akili au la.
Ni vizuri mzawa ndiye apewe nafasi ya kuwa muwakilishi wa mkoa katika bunge kwani yeye ni muathirika ikiwa kutakuwa na maendeleo au tabu katika mkoa huo pamoja na familia na watu wake kwa ujumla. Akiwa mtu kutoka sehemu nyingine ni vigumu kuwa sauti ya utetezi wa watu wa mkoa anaosimamia.Nimezaliwa na kukuwa Arusha.
Hakuna uchochoro wa mji ambao kwakweli siufahamu.
Naona Makonda kama mvamizi tu.
Mji haujui, hajui watu wake, matatizo yake na wala hawezi kuyasemea matatizo ya watu wa Arusha kama vile angewasemea watu wa kule kwao koromije.
Arusha kwake ni kama ngazi ya mafanikio tu kwake.
Hivyo napinga kwa vyovyote vile kumpa nafasi Makonda kugombea Arusha mjini.
Yule katumwa kuna kazi za watu anafanya.Nimezaliwa na kukuwa Arusha.
Hakuna uchochoro wa mji ambao kwakweli siufahamu.
Naona Makonda kama mvamizi tu.
Mji haujui, hajui watu wake, matatizo yake na wala hawezi kuyasemea matatizo ya watu wa Arusha kama vile angewasemea watu wa kule kwao koromije.
Arusha kwake ni kama ngazi ya mafanikio tu kwake.
Hivyo napinga kwa vyovyote vile kumpa nafasi Makonda kugombea Arusha mjini.
Watanzania wanahongwa kwa vitu vidogo vidogo, vitenge, nyama, baiskeli na pikipiki. Taifa letu limekuwa la ovyo. Tuchague watu waliozaliwa kwenye majimbo yetu siyo wavamizi kama huyo Makonda.....hawafai kwanini wasiende kugombea kwao huko walikozaliwa. Wazaliwa ni muhimu kugombea kwenye maeneo yao walikozaliwa na wanakoishi. Hatumtaki Makonda.Nyinyi si mnapenda sana matamasha ya kuchoma nyama, mikesha ya mwaka mpya na maonesho ya magari ya landrover, pamoja kuchangamana na wadudu! Huyo ndiyo mbunge wenu sasa kutoka koromije.
Sawa muda utaongeaWatch this space. HAWI.