Lazima umuweke samia Ili roho iridhike,wakati jeshi no la sadc na aliyeamua silaha gani ziende ni mwenye nchi
Endelea kuleta siasa za ki CCM kwenye masuala ya msingi.Kama kikosi kinachopigwa kina baadh ya askance wa tz basi hilo sio jesh la tz.... hizo ni fursa tu zinatolewa kwa vijana waende kama ajira... sheria na myenendo ya huko haigusiani na tz moja kwa moja..
Ukiongelea JWTZ kama ni kikosi basi Sema
Kikosi gani kilipigana na rwanda – kipo chini ya Koplo / Sajenti nani ??.. Kama sio chetu ila kina baadh ya Ascari wetu basi sio chetu.
kiliposhindwa ilipaswa kisaidiwe moja kwa moja na sasa inapaswa tujue ni Kombania gani ilienda ku backup – na ipo chini ya Kapteni / Meja gani ?? Mzembe mzembe
Ikiwa kombania ilishindwa nambie inatokea kwenye Batalioni gani na ipo chini ya Kanali Gani ? asokuwa mwajibikaji hivyo ??
heb nipe taarifa za Brigedi ya hiyo battalion ilofeli kumchqpq mranda walipokutana na usisaha Brigedia Jenerali Anaeiongoza. Ongeza na taarifa za Divisheni na Meja Jenerali pia kwa hapa TZ tuna
Kundi la Majeshi (Corps) ambalo lipo chini ya Luteni Jenerali
Acha kulisema Jeshi Kuu (Army) na Jenerali wake kiboya boyq mze.
JESHI SIO WANA SIASA WENU WAIMBA TAARAB HAO.
Ni aibu. Kagame kawadhalilisha vibaya mno.Wameondoka hadi wakasahau viatu...naona makorokoro ya JWTZ huko Chato na majuzi nimewapita hapo Nyakanazi na makontena yao wanatafuta pa kwenda.
Hiyo takwimu ya kuwa Jwtz ni jeshi la 6 bora duniani mmeitoa wapi?Wakati huo huo KDF imeanza mazungumzo na kampuni moja bora ya Israel inayotengeneza Air defense system....
Sisi tuendelee tu kufungua viwanda vya kuponda kokoto na kujitapa kuwa jeshi la sita kwa ubora Duniani.
Trump kesha maliza vita. Kagame asipo jiangalia Trump atatuma ndege.
Endelea kuleta siasa za ki CCM kwenye masuala ya msingi.
Wenzetu wameuwawa, wamedharirishwa saivi wamepewa hadi njia ya kurudi nyumbani kwa huruma tu wewe unaleta tantalila zako za ki uvccm hapa.
Huo upumbavu wenu ndo mana Taifa linazidi kuwa kituko.
Kutoka Kigali hadi Kinshasa, ndicho anachomaanisha, SADC kwa kimbele mbele chao walijikuta wamenunua ugomvi usiowahusu.Kuna neno kaliongea walitafakari. Kasema sie tuna uwezo wa kupigana na kutembea kilometres zaidi ya 2000 kufika mlipo na kuwafanyizia.
Ukiangalia kilomita 2000 ni umbali wa Kigali hadi Dar es Salaam.
Muulize msemaji wa jeshi hizo ranking za majeshi alizitoa wapi hadi kuzitangaza hadharani.Hiyo takwimu ya kuwa Jwtz ni jeshi la 6 bora duniani mmeitoa wapi?
Alifanya makosa kuwaleta mateka wakiwa hai.. ndiyo maana machawa mnaongea,mngeletewa masanduku..mngepata akiliKagame ni sisimizi tu.
Anatumia propaganda dhaifu za vitisho, kwanza yule tunamtumia MIGAMBO tu wamnyooshe na kakijiji chake cha Rwanda.
JWTZ ni jeshi lenye hadhi ya juu sana haliwezi kushindanishwa na huyo KIJITI mwenye afya GOIGOI.
Huu ndio wakati wa akina Lucas Mwashambwa na migambo wenzake akina ChoiceVariable kuchangamkia fursa na kwenda kumtwanga huyo KIJITI WA RWANDA.
Kagame kwa kweli amekuwa mtu wa kelele nyingi siku hizi, sijui ana shida gani hasa. Wanasema debe tupu hupiga kelele sana, na binafsi sidhani kama ana jeshi imara kama anavyotaka watu waamini. Badala yake, anazidi kujenga hofu isiyo na msingi, akionekana kuwa na woga hata wa kivuli chake mwenyewe. Sasa, anapowaita members wa SADC 'confused', anamaanisha nini hasa? Je, amejigeuza kuwa msemaji rasmi wa M23? Maelezo yake yamejaa kejeli na dharau zisizo na tija kwa ukanda huu.Kama kawaida yake jana Kagame ametoa biti nzito sana kwa wanaoitishia Rwanda kupitia mgoggoro wa Congo.
Kwa dharau sana kawaita nchi za SADC zilizopeleka vikosi vyake Bukavu na Goma " Confused brothers and Sisters" yaaani kaka zetu na dada zetu waliochanganyikiwa.
Hakuwaacha hapo tu, kawaambia mlichokipata safari hii ni sehemu ndogo tu ya mtakachokipata mkijaribu tena kuleta vikosi vyenu kupambana na Rwanda.
Maneno haya ya Kagame ni ujumbe tosha kwa JWTZ kuwa wajikite kwenye professionalism maana CCM wanavyowaingilia mpaka saivi wamekuwa kituko hadi kwa majirani zetu.
Hongereni CCM kwa kuifanya Tanzania saivi kuwa kituko cha karne.
Kwani vikosi vya SADC wakiwemo JWTZ hawajashikishwa adabu?Labda Kagame anataka kuwadanganya watu wake huo mgogoro ameumaliza yeye kwa kuwashikisha adabu vikosi alivyovisema. Watu wa aina yake huwa janjajanja sana.
AlizinguaMuulize msemaji wa jeshi hizo ranking za majeshi alizitoa wapi hadi kuzitangaza hadharani.
Kama jeshi lenu na TISS wamegeuka vikaragosi na machawa wa wanasiasa wasio na akili CCM kwa nini asiwadharau?Kagame kwa kweli amekuwa mtu wa kelele nyingi siku hizi, sijui ana shida gani hasa. Wanasema debe tupu hupiga kelele sana, na binafsi sidhani kama ana jeshi imara kama anavyotaka watu waamini. Badala yake, anazidi kujenga hofu isiyo na msingi, akionekana kuwa na woga hata wa kivuli chake mwenyewe. Sasa, anapowaita members wa SADC 'confused', anamaanisha nini hasa? Je, amejigeuza kuwa msemaji rasmi wa M23? Maelezo yake yamejaa kejeli na dharau zisizo na tija kwa ukanda huu.
Ah!. Inasikitisha sana, hakuna kitu kinanikera binafsi kama JWTZ kuingizwa kwenye siasa. Angry 💢Alizingua
Kuna kila dalili anawamudu.Vita haipigani hotubani, Kagame ni bingwa wa hotuba. Hatujanza leo kupeleka wanajeshi walinde amani Congo. Arushe kombora litue tuu hapo Rusumo mlimani, aone kama ipo vipi.
Tena ni kilaza pro max, wachache wako mbele ya wakatiWe jamaa ni kilaza.
Huna akili, kagame ana haki ya kutamba. Period!Mama Samia ni chombo cha neema kwa Tanzania — uongozi wake ni taa ya matumaini, dira ya maendeleo na alama ya hekima. 2030 tupo tayari