Kwa biti la Kagame wasithubutu tena kupeleka vikosi Goma

Kwani we si mtanzania Hadi useme turudie tena.
Nyie wafuasi wachadema ni vilazaaa haswaaa ndio maana hamuezi pewa nchi
Hata vita ikitokea haitoangalia huyu ccm huyu cdm

Rudieni tena
an
 
Ivi unazani hao TISS hawana akil kuendelea kuacha utawala huu uendelee?
Pumbav nyie mnaotaka kutuaribia nchi na vyama vyenu vya kiharakat hamjui hata uelekeo wa taifa
Mpo mpo tuh kazi kuisema serikal
Fanyeni kazi achen siasa na ujuaji
Ndo upumbavu ambao kama wana akili washirikiane na TISS kuukomesha walazimishe katiba mpya inayowapiga pini Wanasiasa.

Inakuwaje mwanasiasa anakuwa juu ya mifumo?

Huu upuuzi upo Tanzania tu ndo mana saivi tunazidi kuwa kituko.
 
Barikiwa
 
Ivi unazani hao TISS hawana akil kuendelea kuacha utawala huu uendelee?
Pumbav nyie mnaotaka kutuaribia nchi na vyama vyenu vya kiharakat hamjui hata uelekeo wa taifa
Mpo mpo tuh kazi kuisema serikal
Fanyeni kazi achen siasa na ujuaji
kama kuwa na akili kwao ni kuwaacha CCM waifisadi hii nchi na wavunje Katiba watakavyo basi nakubaliana na wewe wana akili.
 
Umeandika vyema mkuu.

Rushwa italimaliza hili taifa, hakuna mtanzania hata mmoja mwenye uzalendo pale anapoonyeshwa mafungu ya pesa.

Nilimsikia msemaji wa JWTZ akiongea kwa uchungu juu ya wanasiasa wanaopeleka majina ya vijana wanaotaka wapewe kipaumbele kuingia jeshini, kama alimaanisha anachosema basi naona tunakaribia kupona.

Leo hii watu wameshikilia uvyama huyu CCM yule CHADEMA, hakuna mtu mzalendo kabisa, wote ni uchawa tu. Hata hapa kwenye huu uzi utaona vile siasa za vyama zimeharibu hii nchi.
​
 
Taifa lolote ambalo wanasiasa wako juu ya mifumo na utaalam hilo ni Taifa mfu.

Wenye akili walishajua Wanasiasa ni Jau ndo mana wakawawekea Sheria kali na Katiba zenye meno kuwabana.

Huku Wanasiasa ndo mnawafanya miungu watu. Matokeo yake ndo haya sasa.
 
Ndo mnavyolishwa matango pori huko makambini? Unaifahamu Uganda au unaongea ujingaujinga tu? Watu wana Sukhoi SU 30 sita. Wewe Tz una ndege gani ya maana zaidi ya zile takataka zinaunguruma kama kiwanda?
Binafsi, hofu yangu yangu siyo Silaha.

Weakness kubwa ni siasa za CCM. Compromised Jeshi na kama wananchi kama watakuwa kitu kimoja.

Moja ya njia rahisi ya kupigwa ni uasi kutoka kwa wananchi wako.

Unazima wananchi wako wanakaa kimya, akitokea adui wanaungana naye
 
Ninachompendea Kagame, anakuchapa vitani halafu anakuchapa kwa maneno. Very genius guy. Huyu kwa East Africa ndo jabali wa vita...sio Tz, wazee wa historia tuu...vitendo sifuri.

Nikikumbuka yule mjeshi Mtz anakaguliwa mpk kwenye makegeli na vijana wa PK nachoka kabisa!!!
 
Siasa hizi bhana ,kwahiyo chadema tufuraie ilo ulilolitaandika.
 
Silaha zenu anawapa Lugumi.

Ligumi ni mtu wa Kagame.

Kama.Kagame amewakagua mpaka chupi, hakuna alichobakiza.
 
Waziri wa ulinzi mwenyewe mweupeee...darubini anageuza ka nyoka anaingia shimoni
ziri
 
Kati ya israel na Iran nani ana makelele?🤣🤣🤣
Iran ni SI Unit ya Mikwara duniani.

Kuna mikwara walipiga nikasema hawa watu wako serious
1. Leo tutapiga tukio Dunia itakumbukua miaka 100
2. Leo tutarusha makombora 400 na Dunia itashangaa, wakarusha 3

Yaani wanachofundisha Iran, tumia mdomo sana
 
TISS ni usalama wa nchi mkuu
Hapo we unazungumzia takukuru ndio wahusika na masuala ya rushwa na ufisadi
kama kuwa na akili kwao ni kuwaacha CCM waifisadi hii nchi na wavunje Katiba watakavyo basi nakubaliana na wewe wana akili.
s
 
KIJITI KAGAME amejaa maporojo tu mdomoni, aingie mzigoni tumvunje hizo CHELEWA zake anazoziita miguu.

Akawatishe VIJITI WENZAKE wa Rwanda, HAPA KAZI TU.
 
Hiyo takwimu ya kuwa Jwtz ni jeshi la 6 bora duniani mmeitoa wapi?
Taarifa za Google. Jeshi la mradi wa kokoto na fremu na kupiga raia, huwezi kushangaa kuchukua vitaarifa vya kuokota
 
KIJITI KAGAME amejaa maporojo tu mdomoni, aingie mzigoni tumvunje hizo CHELEWA zake anazoziita miguu.

Akawatishe VIJITI WENZAKE wa Rwanda, HAPA KAZI TU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…