Kwa biti la Kagame wasithubutu tena kupeleka vikosi Goma

jibu hoja basi, walikwenda kama Tz au kama SADC, hiyo ya kusema ujinga ina maana huna jibu
Suala la msingi JW walienda na wamekula kichapo baada ya mission kufeli.

Hayo walienda kama nani ni kupaka rangi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…