gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Lazima umuweke samia Ili roho iridhike,wakati jeshi no la sadc na aliyeamua silaha gani ziende ni mwenye nchiJWTZ Ipo imara mno
Hakuna jeshi east and central afrika la kuikoromea JWTZ!!
Naongea by experience in side!!
Mjinga ni Samia na Shishekedi tu kutokidhi mahitaji ya wanajeshi na ushauri wa kitaalamu!!
Wana huo uwezo?Saivi Jeshi la Tanzania limekuwa Jeshi la maonyesho. Ukiwahitaji unawaita tu unawalipa wanakuja kucheza kwata za kimya kimya.Rudieni tena
Kaangalie hotuba yake ya jana.Kagame anaweza kuwatisha watu wengine, lakini Kagame hawezi kuitisha Tanzania, kwamba atapambana nayo achilia mbali kuipiga.
Atakung'utwa asubuhi kweupe, wala Rusumo hatovuka pale.
Wakati huohuo umewekwa mfukoni na CCMWana huo uwezo. Saivi Jeshi la Tanzania limekuwa Jeshi la maonyesho. Ukiwahitaji unawaita tu unawalipa wanakuja kucheza kwata za kimya kimya.
Huwezi kuwekwa mfukoni na CCM alafu ukawa na akili.
Kagame ni KIJITI tu, anawatisha migambo wenzake wa Rwanda na wajinga wachache wanaomuabudu.Kwa biti alilowapiga Kagame jana kama wana akili waachane na kuwa majinga ya CCM na waanze kwa kuwakazia kusimamia kweli Katiba CCM waache upuuzi wa kuipeleka Tanzania watakavyo
Taarabu tu hizo toka kwa mpenda ukuuKaangalie hotuba yake ya jana.
Tena kawaambia kilichowapata Bukavu na Goma ni sehemu ndogo sana ya kitakachowapata mkijaribu tena.CCM ni Moja, ya sehemu ya matatizo Mengi ya Taifa/Nchi.
CCM wanapaswa wakae kando, Sasa watatokaje kwa Negotiations au Revolution.??? Jawabu analo mtanzania mwenye Ufahamu.
Juzii Mtaani wakati tunapeana michapo ya hapa na pale (siasa, Entertainment, International Affairs, Economics), Muwezeshaji(Mwalimu mstaafu)mmoja anasema yule kagame ni mwanaume wa shoka, alimsifu sana, tukamuuliza vipi Museven Uganda?, akajibu Museven Zee jinga.
Paul kagame Kama Lee Kuan Yew avyojitazama kwa kioo.
Taarabu tu hizo toka kwa mpenda ukuu
Hizo taarabu tuTaarabu wakati aliwapelekea kweli moto Goma juzi?
We huoni wameondoka kwa aibu?
Kama alijuwa sadc itafeli hakutakiwa kulipeleka jeshi kuleLazima umuweke samia Ili roho iridhike,wakati jeshi no la sadc na aliyeamua silaha gani ziende ni mwenye nchi
Mkuu wetu wa majeshi ana ndugu Rwanda upande wa baba yake unategemea nini ?Kama kawaida yake jana Kagame ametoa biti nzito sana kwa wanaoitishia Rwanda kupitia mgoggoro wa Congo.
Kwa dharau sana kawaita nchi za SADC zilizopeleka vikosi vyake Bukavu na Goma " Confused brothers and Sisters" yaaani kaka zetu na dada zetu waliochanganyikiwa.
Hakuwaacha hapo tu, kawaambia mlichokipata safari hii ni sehemu ndogo tu ya mtakachokipata mkijaribu tena kuleta vikosi vyenu kupambana na Rwanda.
Maneno haya ya Kagame ni ujumbe tosha kwa JWTZ kuwa wajikite kwenye professionalism na waache kuwa wajinga wa CCM maana CCM wanavyowaingilia mpaka saivi wamekuwa kituko hadi kwa majirani zetu.
Hongereni CCM kwa kuifanya Tanzania saivi kuwa kituko cha karne.
Kaangalie hotuba yake ya jana.
Kwani kavifanyaje vikosi vya JWTZ pale Goma?Vita haipigani hotubani, Kagame ni bingwa wa hotuba. Hatujanza leo kupeleka wanajeshi walinde amani Congo. Arushe kombora litue tuu hapo Rusumo mlimani, aone kama ipo vipi.
Ule ujinga wa kufagia barabara siku tukipanga maandamano ni ushahidi wa kuitumikia ccm, jambo hili halitawasaidia kituManeno haya ya Kagame ni ujumbe tosha kwa JWTZ kuwa wajikite kwenye professionalism na waache kuwa wajinga wa CCM maana CCM wanavyowaingilia mpaka saivi wamekuwa kituko hadi kwa majirani zetu.😩😩😩
Rais anapuuza Ushauri wa kitaalam alafu anaachwa tu?Kama alijuwa sadc itafeli hakutakiwa kulipeleka jeshi kule
Na huo ndio ulikuwa ushauri wa JWTZ
Aliupuuza!.
Saivi kazi yao ni kuwatisha wananchi tu na kujipendekeza kwa wanasiasa wajinga wa CCM.Ule ujinga wa kufagia barabara siku tukipanga maandamano ni ushahidi wa kuitumikia ccm, jambo hili halitawasaidia kitu
Hatari kwa VIJITI WENZAKE wa Rwanda.Kagame mtu hatari sana.
Maneno haya ya Kagame ni ujumbe tosha kwa JWTZ kuwa wajikite kwenye professionalism na waache kuwa wajinga wa CCM maana CCM wanavyowaingilia mpaka saivi wamekuwa kituko hadi kwa majirani zetu.