Wewe unaonelana MJINGA sana na hujui historianya K-GAMEKagame ni sisimizi tu.
Anatumia propaganda dhaifu za vitisho, kwanza yule tunamtumia MIGAMBO tu wamnyooshe na kakijiji chake cha Rwanda.
JWTZ ni jeshi lenye hadhi ya juu sana haliwezi kushindanishwa na huyo KIJITI mwenye afya GOIGOI.
Huu ndio wakati wa akina Lucas Mwashambwa na migambo wenzake akina ChoiceVariable kuchangamkia fursa na kwenda kumtwanga huyo KIJITI WA RWANDA.
Wamenituma kina nani?Kwa hiyo wewe ndio wamekuelekeza utuandikie humu JF.
Peleka taco uone kama Kagame ni dhaifuSiku zote dhaifu ndiyo huwa na kelele chumbani
Na kawaonya wasijaribu tena.Hii ni dharau kubwa sana
Na vidonda vya tumbo vile,pumbu zote zimerudi ndaniPeleka taco uone kama Kagame ni dhaifu
Historia zibaki kwenye magazeti, sisi ni kazi tu tutamnyoosha huyo KIJITI WA RWANDA na historia zake mpaka ajue Tanzania sio ya mchezo mchezo!Wewe unaonelana MJINGA sana na hujui historianya K-GAME
ANGALIA HII "K" KWA HYO HAPO JANA KAGAME ALIONGELEA CCM?Kama kawaida yake jana Kagame ametoa biti nzito sana kwa wanaoitishia Rwanda kupitia mgoggoro wa Congo.
Kwa dharau sana kawaita nchi za SADC zilizopeleka vikosi vyake Bukavu na Goma " Confused brothers and Sisters" yaaani kaka zetu na dada zetu waliochanganyikiwa.
Hakuwaacha hapo tu, kawaambia mlichokipata safari hii ni sehemu ndogo tu ya mtakachokipata mkijaribu tena kuleta vikosi vyenu kupambana na Rwanda.
Maneno haya ya Kagame ni ujumbe tosha kwa JWTZ kuwa wajikite kwenye professionalism na waache kuwa wajinga wa CCM maana CCM wanavyowaingilia mpaka saivi wamekuwa kituko hadi kwa majirani zetu.
Hongereni CCM kwa kuifanya Tanzania saivi kuwa kituko cha karne.
Mpatie uone kama haitapenya urudishe taarifa hapaNa vidonda vya tumbo vile,pumbu zote zimerudi ndani
Ajue mara ngapi wakati kawashikisha adabu?Historia zibaki kwenye magazeti, sisi ni kazi tu tutamnyoosha huyo KIJITI WA RWANDA na historia zake mpaka ajue Tanzania sio ya mchezo mchezo!
KAGAME Kawa mkali kama pilipili!Kama kawaida yake jana Kagame ametoa biti nzito sana kwa wanaoitishia Rwanda kupitia mgoggoro wa Congo.
Kwa dharau sana kawaita nchi za SADC zilizopeleka vikosi vyake Bukavu na Goma " Confused brothers and Sisters" yaaani kaka zetu na dada zetu waliochanganyikiwa.
Hakuwaacha hapo tu, kawaambia mlichokipata safari hii ni sehemu ndogo tu ya mtakachokipata mkijaribu tena kuleta vikosi vyenu kupambana na Rwanda.
Maneno haya ya Kagame ni ujumbe tosha kwa JWTZ kuwa wajikite kwenye professionalism na waache kuwa wajinga wa CCM maana CCM wanavyowaingilia mpaka saivi wamekuwa kituko hadi kwa majirani zetu.
Hongereni CCM kwa kuifanya Tanzania saivi kuwa kituko cha karne.
Sasa wewe hujui sababu kuu ya nchi yetu, taasisi zake na mifumo kuanguka?ANGALIA HII "K" KWA HYO HAPO JANA KAGAME ALIONGELEA CCM?
UPINZANI WA TANZANIA UNAKUFA NA UNAKOSA WELEDI KWA SABABU YA WATU WAJINGA KAMA HAWA..TAKATAKA KABISA
Adabu ipi ππAjue mara ngapi wakati kawashikisha adabu
Taka taka hii..Wamenituma kina nani?
Kale kajamaa ni kamtu hatari sana.KAGAME Kawa mkali kama pilipili!
Hawezi puuza ushauri wa jwtz kwenye operations za jwtz, muongo mkubwa,samia alishawahi ongelea restrictions za kutokwenda na silaha za jwtz DRC,wakuu wa majeshi sadc walikutana mara kadhaa kwa hiliKama alijuwa sadc itafeli hakutakiwa kulipeleka jeshi kule
Na huo ndio ulikuwa ushauri wa JWTZ
Aliupuuza!.
Hujui alichowafanya JWTZ pale Goma juzi kati hadi wakasalimu amri na vokosi vingine vya SADC?Adabu ipi ππ
Hayo mawazo ya kitaka taka kawaambyie taka taka wenzako huko wenye mtindio wa ubongo wasioweza kufkriaSasa wewe hujui sababu kuu ya nchi yetu, taasisi zake na mifumo kuanguka?
Hujui shida ni CCM ambao wameamua kuhodhi kila kitu?
Kama IranSiku zote dhaifu ndiyo huwa na kelele chumbani