Huujui mgogoro wa Congo.Tayari USA amesaini mkataba huo wa kumaliza mgogoro:Na USA atachota madini ya kutosha kutoka huko Congo:Yeye Kagame hana resource yeyote zaidi ya kutaka kuiba kutoka Congo:Kitakacho mpata kwa sasa ni yeye kutumiwa vindege vidogo visivyo na rubani na kummaliza:Tayari wakubwa na wenye dunia wapo Congo:Yeye aendelea kulia lia kama mbwa koko lakini kwa sasa its the end of the road.
Ndo mnavyolishwa matango pori huko makambini? Unaifahamu Uganda au unaongea ujingaujinga tu? Watu wana Sukhoi SU 30 sita. Wewe Tz una ndege gani ya maana zaidi ya zile takataka zinaunguruma kama kiwanda?JWTZ Ipo imara mno
Hakuna jeshi east and central afrika la kuikoromea JWTZ!!
Naongea by experience in side!!
Huyu jama si alionekana anapumulia mashine hivi majuziKwa dharau sana kawaita nchi za SADC zilizopeleka vikosi vyake Bukavu na Goma " Confused brothers and Sisters" yaaani kaka zetu na dada zetu waliochanganyikiwa.
Hakuwaacha hapo tu, kawaambia mlichokipata safari hii ni sehemu ndogo tu ya mtakachokipata mkijaribu tena kuleta vikosi vyenu kupambana na Rwanda.
Na bado yupo madarakani? Seriously? Sasa ikitokea vita atawezaje kulisikiliza jeshi?Kama alijuwa sadc itafeli hakutakiwa kulipeleka jeshi kule
Na huo ndio ulikuwa ushauri wa JWTZ
Aliupuuza!.
Ninachojua USA purposely yupo pale kuchota madini:Ninachojua atawachapa vizuri tu:Huujui mgogoro wa Congo.
Kwenye hayo makubaliano, umeona kikundi chochote cha waasi???
Unajigambq wakati kawatia adabu hapo GomaSemeni vyoooote, ila Jeshi la TZ ni jeshi imara as up now. Halijawahi shindwa any private major operation na halijawah.
KIKWETE alisema hivi, tutakuwa wa mwisho kufanya kitu chochote kibaya, ....... kipindi kile Kagame akabaki anabweka tu mda wote hakuanzisha shambulio kicha kwamba Kikwete alimwambia anza kupiga sisi hatuta anza mpaka uanze wewe ,
na hata Leo ajarib yeye mana sisi huwa hatuna porojo kama NCHI Bali tuna matendo .... anaeona sisi dhaif aanze kupiga tumwonyesho tulichomfanya DADA.
Usiogope kijana hizo ndege zinaweza zisiruke au zikiruka zisirudi zilipotoka ila muhimu zisiruke kabisaNdo mnavyolishwa matango pori huko makambini? Unaifahamu Uganda au unaongea ujingaujinga tu? Watu wana Sukhoi SU 30 sita. Wewe Tz una ndege gani ya maana zaidi ya zile takataka zinaunguruma kama kiwanda?
Ni mzima na mwenye afya tele. Fuatilia mwenyewe hotuba yake ya juziHuyu jama si alionekana anapumulia mashine hivi majuzi
We jamaa ni kilaza.Usiogope kijana hizo ndege zinaweza zisiruke au zikiruka zisirudi zilipotoka ila muhimu zisiruke kabisa
Wajeda wa Kibongo mpaka makali walisechiwa mpaka matakoni walipokamatwa mateka huko Eastern DRC, Kagame anaongea lakini pia on the ground vijana wake wanatendea haki flag yao.Siku zote dhaifu ndiyo huwa na kelele chumbani
Tena kwenye hotuba yake kasema sio kwamba anajisifu anaongea ukweli na uhalisia na ujumbe uwafikie machawa wote.Wajeda wa Kibongo mpaka makali walisechiwa mpaka matakoni walipokamatwa mateka huko Eastern DRC, Kagame anaongea lakini pia on the ground vijana wake wanatendea haki flag yao.
Bongo makamanda wa juu kugeuka kuwa chawa kumeua kabisa uwezo na morori jeshini.
Huku wenzao wanawekeza viwanda vya maji, taa na kuponda kokoto.Maana yake, Kagame anasema, Mnawashwawashwa....
Mjikanyage sasa.....
View attachment 3396846
View attachment 3396848
View attachment 3396850
Endeleeni kuwa majuha.Africa nzima hii, mwanasiasa ndie anaepanga utaratibu wa Sheria
Warejee tu Tanzania waendelee kuwa vigaragosi vya wajinga CCM maana hiyo ndo kazi wanayoiweza.M23 walipigwa na jwtz wakakimbilia Uganda na vikosi vile vya jwtz vilikuwa imara sana na havikuwa na Asikari wa kike,baada ya hapo M23 wakajipanga upya wakajiandaa wakapata mafunzo makubwa ya kijeshi mazoezi makali walipokuja kwa mara ya pili wakaja na nguvu kubwa wakawaua Asikari wanne wa jwtz na Asikari 14 wa South Africa na kuwajeruhi wengi kuwapora siraha vifaa ni Aibu kubwa kwa Taifa, bora warejee Tanzania kuliko kuishi kwenye eneo la utawala wa waasi wa M23
Endeleeni kujipa moyo.Tayari USA amesaini mkataba huo wa kumaliza mgogoro:Na USA atachota madini ya kutosha kutoka huko Congo:Yeye Kagame hana resource yeyote zaidi ya kutaka kuiba kutoka Congo:Kitakacho mpata kwa sasa ni yeye kutumiwa vindege vidogo visivyo na rubani na kummaliza:Tayari wakubwa na wenye dunia wapo Congo:Yeye aendelea kulia lia kama mbwa koko lakini kwa sasa its the end of the road.
Nchi hii hatuna wanajeshi wala TISS wenye akili. Tungekuwa nao CCM wasingeliharibu hili Taifa kwa kiwango hiki. Tungekuwa nao KATIBA isingechezewq namna hii na wajinga wachache wanasiasa wanaojiona ndo kila kitu wakati hawana lolote lile la maana.Kwa yanayo endelea ccm kila kitu kinawezekana... Mtanielewa baada ya Oct2025
Kawaambia angeamua hata kurudi kwao wasingerudi maana angeaamaliza wote.Na kasema baada ya kuwatembezea kichapo na wakasalim amri tukawaonyesha njia ya kurudi kwao, vinginevyo hata kwao wasingerudi